Letra

Kurugushuka ragasha kuruku kung kung Penzi lako limenikomeka kutu Limenishika nimesema tu masudu Karibia chapter na nipige mamunju Nizungushie one down Nizungushie one, (one) Nizungushie one down Nizungushie one, (one) Nizungushie one down Nizungushie one, (one) Nizungushie one down Nizungushie one, (one) Ni tekenye na one down Ni tekenyereke, ke Ni tekenye na one down Ni tekenyereke, ke Ni tekenye na one down Ni tekenyereke, ke Ni tekenye na one down Ni tekenyereke, ke Aah, chibobo waangu Muhodari wangu Chiboboo waangu Muhodari waangu Siwezi kukataa nakupenda Na bado naamini siwezi kukutenda Kila day bana mi bado nakuwaza Umefit roho yangu bado inakuwaza Kukutext bundle ndio ilikuwa ni mablunder Kuchapa wera daily kung'ang'ana kwa vibanda Ulinipenda mi hata kuliko jana Hata uulize mi siwezi kukukana Ulinipenda vile tukimanga chapo dondo Wakati sina doo nikibishana na kamongo Mtaani ukipita na maboy wanatense Nazidi kuwalenga ndio iweze kuwa pain Siwezi kukupima wewe sio mama pima Itabidi nikubebe tu kabegani Siwezi kukupima wewe sio mama pima Itabidi nikubebe tu kabegani Kurugushuka ragasha kuruku kung kung Penzi lako limenikomeka kutu Limenishika nimesema tu masudu Karibia chapter na nipige mamunju Nizungushie one down Nizungushie one, (one) Nizungushie one down Nizungushie Nizungushie one down Nizungushie one, (one) Nizungushie one down Nizungushie one, (one) Ni tekenye na one down Ni tekenyereke, ke Ni tekenye na one down Ni tekenyereke, ke Ni tekenye na one down Ni tekenyereke, ke Ni tekenye na one down Ni tekenyereke, ke I want you boy With the ghetto loving Is Nadia that you say You be wanting Nitekenye nitekeke Ooh no way don nitekeke You say that you wanting my body Tonight you are touching my body In return i will be bouncing my body Squeezing my body calling me hunnie You say that you wanting my body Tonight you are touching my body In return i will be bouncing my body Squeezing my body calling me hunnie Ni kaholy holy toto ni kaholy Ni kadoli doli toto ni kadoli Nimechizi with the love sijiwezi Niko stenji kulipoti juu ya wizi Moyo wangu ukang'oa na mizizi Penzi langu ukalipa na mandazi Kedi nayo nilikupenda tu kichizi Kukufuata fuata tu kama mbuzi Vako zako sweet baby zaning'ora Kuna venye we chachisha ka kang'ora Ukifika kwenye zabwa Wa wana raraa Kurugushuka ragasha kuruku kung kung Penzi lako limenikomeka kutu Limenishika nimesema tu masudu Karibia chapter na nipige mamunju Nizungushie one down Nizungushie one, (one) Nizungushie one down Nizungushie one, (one) Nizungushie one down Nizungushie one, (one) Nizungushie one down Nizungushie one, (one) Ni tekenye na one down Ni tekenyereke, ke Ni tekenye na one down Ni tekenyereke, ke Ni tekenye na one down Ni tekenyereke, ke Ni tekenye na one down Ni tekenyereke, ke My baby girl naomba usikate tenje Last word kukushow ni ati niko stenje Ata nimeomba afande afande menje Ni mateso huku tu nang'ang'ana Kukupenda ata heart hatukubishana Mbona uende hata hatukulimana Roho yangu imekukwachuu But mi ndo nitakuoa ka warachuu Kurugushuka ragasha kuruku kung kung Penzi lako limenikomeka kutu Limenishika nimesema tu masudu Karibia chapter na nipige mamunju Nizungushie one down Nizungushie one, (one) Nizungushie one down Nizungushie one, (one) Nizungushie one down Nizungushie one, (one) Nizungushie one down Nizungushie one, (one) Ni tekenye na one down Ni tekenyereke, ke Ni tekenye na one down Ni tekenyereke, ke Ni tekenye na one down Ni tekenyereke, ke Ni tekenye na one down Ni tekenyereke, ke Aah, chibobo waangu Muhodari wangu Chiboboo waangu Muhodari waangu
Writer(s): Paul Koigi, Dennis Njoroge, David Igogo, Alexander Ikuro, Peter Mwangi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out