Letra

Ladies and gentlemen this is your captain speaking Thank you for flying Bamboo air Today we will be flying at an altitude of Thirthy thousands rhymes per second So put your seatbelts on and hold on tight Ati ehh niko club nimekaa bila taabu Na jamaa ana katia dem wangu kwa sabaabu Napendanga masilver badala ya dhahabu Ubaya miwanga najam kama mwarabu LAkini mi utoa stress na kalamu na spit kwa mic na ina toka tu vitamu Hii basi ni story ya dem wangu, staki magezetti ziaribu game yangu Nime kaa nakadem kangu kasupuu Namroga tu na mastyles zangu za vuduu Nazilikuwa zinaflow tu kama maji, jama akakuja akamsalimia niaje? Ati sasa baby, umepotea, imekuwa siku mingi ujatokea Saa hizo minawish tu angepotea, akanisalimia hi, na akaendelea! Usilete Compe kwanza kwa demu wangu manze Aisee usiniletee hiyo ni mali yangu manzee eehn Usilete Compe kwanza kwa demu wangu manze Aisee usiniletee hiyo ni mali yangu manzee eehn Sasa misipendangi kukuwa na wivu Lakini pia heshima uwaga muhimu Isitoshe akamwomba namba ya simu nikashindwa kwani huyo mse nimwazimu Ati ehh baby, give me your line, usipotee sana nipigia sometime Compe ni compe jo safi, mtu aje ajitetee roho safi Mi sina time ya kujam sangapi Uwivu uleta vita kama supuu awezi pita Kabla chali hajamwita, dem ako na majamaa kaa sita Ka figa lakini kanakuita, hips na thighs ubonga na zina skika Zingine zina bonga kama spika Usilete Compe kwanza kwa demu wangu manze Aisee usiniletee hiyo ni mali yangu manzee eehn Usilete Compe kwanza kwa demu wangu manze Aisee usiniletee hiyo ni mali yangu manzee eehn Sasa si nikabaki na dem hapo Saa hizo jama asha rusha game hapo Ni vile mtu ucheza na brain yako Nikamwambia wazi jamaa anaclaim vako Me nikalenga, jamaa akaenda, lakini ni obvious si anampenda Na keep it real,Nadhani mnanifeel Ni ngumu kupata dem kwa club na amechill Siwezi funga mtu kaa police, niki kurelease nakwambia tu peace Compe ni compe jo safi, mtu aje ajitetee roho safi Lakini kwanza anipee nafasi nimpatie story yangu kiasi Mimi sipendi kwanza weekendi Mtu rafiki lakini anapretendi Watu wanaona ni kama wataniona lakini nimekupima na pia nimekusoma Skia ngoma, compe ni noma, jamaa anaalika dem wako nyama choma! Usilete Compe kwanza kwa demu wangu manze Aisee usiniletee hiyo ni mali yangu manzee eehn Usilete Compe kwanza kwa demu wangu manze Aisee usiniletee hiyo ni mali yangu manzee eehn Usilete Compe kwanza kwa demu wangu manze Aisee usiniletee hiyo ni mali yangu manzee eehn Usilete Compe kwanza kwa demu wangu manze Aisee usiniletee hiyo ni mali yangu manzee eehn
Writer(s): Bamboo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out