Letra

Jeshiiiiii Chingaaa I wanna sing for my lady yooh Sexy lady Mmmh Wanaokesha wakiomba tuachane, wanaupaka rangi upepo Ufe nikuzike tuzikane, kesho tukakutane kwa pepo Hasi na chanya tugandane, kisha tuzidishe tempo Bila sita saba na nane, hata kumi isingekuwepo Tena unavonisuuza hujikwezi, sio wa kulala buza ushinde mbezi Yaani unawaburuza hawakuwezi, umeniteka mama aaah Watoto wa mombasa huko Kenya, wanaitamani ndizi ya kumenya Wanajiuliza vipi umepenya, mpaka Tembo hapindui Akina carrymastory wanakusengenya, na vile huwajibu wanajitekenya Na ulivo na sifa unanipa tena, yaani mpaka asubuhi Kifupi umeniziba mdo. mdo. mdomo Mdo. mdo. mdomo, mdo. mdo. mdomo mdooo Yaani baby umeniziba mdo. mdo. mdomo, mdo. mdo. mdomo Mdo. mdo. mdomo mdooo Mmmh Yeeh Oooh baby I don't even understand Nahisi kama umenifanyia limbwata ila ndio mapenzi sishangai Yeeh my lady I don't wanna one night stand Mie kwako chizi nishadata ntakupenda till I die Maana unanipa mawe.e.wengengee Mara bichwa mara mwe.e.mwengengee Kaja gym na kite.tengenge ilimradi uchokozii Aooh nah nah nah Macho yanatazama mbingu, mikono nishamfunga na pingu Kibaridi huko nje kuna wingu, mie namwa.mwagaga machozi Watoto wa mombasa huko Kenya, wanaitamani ndizi ya kumenya Wanajiuliza vipi umepenya, mpaka Tembo hapindui Akina carrymastory wanakusengenya, na vile huwajibu wanajitekenya Na ulivo na sifa unanipa tena, yaani mpaka asubuhi Kifupi umeniziba mdo. mdo. mdomo Mdo. mdo. mdomo, mdo. mdo. mdomo mdooo Yaani baby umeniziba mdo. mdo. mdomo, mdo. mdo. mdomo Mdo. mdo. mdomo mdooo Nataka niteleze kwa ute Nikitapika nifute Ananifanya nisijute Chumbani nkukute Na ganja mbili tuvute Hilo vumbi la kongo uifute Eeeh The mix killer Konde boy call me number one Chinga yes number one
Writer(s): Rajab Kahali Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out