Vídeo da música

Harmonize - Mwaka wangu (Official Music Video)
Assista ao videoclipe da música {trackName} de {artistName}

Letra

Yaw yaw Jeshii Lalalilaa Mmh Lalalaa Chiii Eeh Ni mwaka mpya mambo mapya sina zhambi nimetubu Na pesa ntazichanga changa nizijaze kwa kibubuu Japo hata kakibanda nikajenge huko pugu Maana nyumba za kupanga nishazichoka vurugu Eti kwani wao waweze wana nini Mmmh! na mimi nishindwe nina nini Nishachoka siku zote kuwa wa chini Wengine wanakula kipupwe ma ofisini Mliosema haolewi, olewi mbona kaolewa Mliosema hapewi, hapewi mbona amepewa Mwaka huu ni wangu Kutimiza ndoto zangu Nasema mwaka huu ni wangu Kwa baraka za mungu wangu, Dear lord Hakuna mungu kama wewe baba (eh hakuna) Kama wewe yawe (eh hakuna) Hakuna mungu kama wewe baba (eh hakuna) Kama wewe yawee (eh hakuna) Huu mwaka nakusanya mavumba ninunue gari yangu Na wale waliosema mimi ni mguma waje kumuone mwanangu Huu mwaka, marafiki wasio na faida nawaweka pembeni Wanaokufata wakati wa shida ii wapate hafueni Niwaonyeshe walionidharau kama mungu anaweza Nami nipande dau niwasalimu kingereza When God say yes, nobody can say no When God say yes, nobody can say no When God say yes, nobody can say no When God say yes, nobody can say no Miosema haolewi, olewi mbona kaolewa Mliosema hapewi, hapewi mbona amepewa Mwaka huu ni wangu Kutimiza ndoto zangu Nasema mwaka huu ni wangu Kwa baraka za mungu wangu, Dear lord Hakuna mungu kama wewe baba (eh hakuna) Kama wewe yawe (eh hakuna) Hakuna mungu kama wewe baba (eh hakuna) Kama wewe yawee (eh hakuna)
Writer(s): Harmonize Harmonize Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out