Letra

Ooh mama yeah, ooh mama yeah Yeah yeah Kanilambisha limwata Nisikule Nahisi kama nadata eeh Msukule eh Na moyo wangu unawasha Upelee Napuliza nakung'ata eeh Panya buku Upendo umevuka kina Nina wivu mpaka roho inauma Iwe Japan au China Weka gundi baby tutagandana eh Supu ukitia nazi utaharibu Kidole niweke pete, tuwe karibu Kisha tukawasalimu Bibi na babu, babu babu babu Watupikie mihogo Tunywe mbege Tukacheze sindimba Ndege limetua kwenye mti wangu Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah),Nimetekwa mateka Nimeridhika hayuni wangu Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah),Nimetekwa mateka Mlango nimepata kufuli wee Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah), Nimetekwa mateka Hapa mwisho wa ujeuri yee Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah), Nimetekwa mateka Ndoto yake ilikuwa kunipata Alivyonipata sindo akanipa Alivyonipa nikashangaa nadata Nikazama mazima Wa kwangu mwenyewe Huyu, huyu, huyu, huyu Nimempenda mwenyewe, Huyu, huyu, huyu, huyu Wa kwangu mwenyewe mwenyewe Huyu, huyu, huyu, huyu Punguzeni vimbembele Huyu, huyu, huyu, huyu Supu ukitia nazi utaharibu Kidole niweke pete, tuwe karibu Kisha tukawasalimu Bibi na babu, babu babu babu Watupikie mihogo Tunywe mbege Tukacheze sindimba Ndege limetua kwenye mti wangu Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah), Nimetekwa mateka Nimeridhika hayuni wangu Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah), Nimetekwa mateka Mlango nimepata kufuli wee Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah), Nimetekwa mateka Hapa mwisho wa ujeuri yee Nimetekwa mateka(Ah Ah Ah), Nimetekwa mateka Huyu, huyu, huyu, huyu
Writer(s): Aslay Isihaka Nassoro Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out