Vídeo da música

Créditos

PERFORMING ARTISTS
Haitham Kim
Haitham Kim
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Haitham Ghazal Seif
Haitham Ghazal Seif
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Spesso
Spesso
Producer

Letra

Sitaki mulika mwizi tena iwe kama jana Hisia za mapenzi nilizama Nikaachwa na maji Ooh baby baby baby yoo Aaa yaa yaa baby yoo Sijiwezi mwenzio Ayaa yaa yaa mwenzio Mood ukija ukazikata ni kero Kesi ikifika basata ni sero Umeshanipa limbwata ni zero (kichwani zero kichwani zero) Warida Waridadi ushanipa mi midadi Penzi ngurumo ya radi Panapo Kosa basi ni judge Maana mlenda wake magadi Naogopa kutapa kama mfa maji Basi Usije ukaniumiza (ukaniumiza) Ukaja nawe danganyika (danganyika) Basi Usije ukaniumiza ahh (ukaniumiza) Ukaja nawe danganyika (danganyika) Ayaa yaa ya Ayaa yaa ya Ayaa yaa ya Una bidii nipe nyongeza Masupidi moto koleza Kwenye bed nabembelezwa mi yaya Yani WiFi najiongeza Sifikirii kukupoteza Remote najibonyeza vibaya Kwako sisemi NO Usemacho ni funzo mi kwako nafwata Nishajichimbia Shimo Cha ajabu ni ngumu pumzi yangu ku kata Warida Waridadi ushanipa mi midadi Penzi ngurumo ya radi Panapo Kosa basi ni judge Maana mlenda wake magadi Naogopa kutapa kama mfa maji Basi Usije ukaniumiza (ukaniumiza) Ukaja nawe danganyika (danganyika) Basi Usije ukaniumiza ahh (ukaniumiza) Ukaja nawe danganyika (danganyika)
Writer(s): Haitham Ghazal Seif Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out