Letra

Oooh, ooh, ooh, oooh) Yesu sio mwizi lakini Ameuiba moyo yangu Yesu si polisi anifunge Ananibeba mbembeleza Yeye ni rafiki wa dhati Akiahidi lazima atatenda Yesu ni mfalme wa amani Kuwa karibu na yeye natamani Yesu sio mwizi lakini Ameuiba moyo yangu Yesu si polisi anifunge Ananibeba mbembeleza Yeye ni rafiki wa dhati Akiahidi lazima atatenda Yesu ni mfalme wa amani Kuwa karibu na yeye natamani Yesu Yesu ni rafiki nimemuona dhabiti Yesu Yesu rafiki, ahadi zake kweli Yesu Yesu ni rafiki nimemuona dhabiti Yesu Yesu rafiki, ahadi zake kweli Yesu Yesu ni rafiki nimemuona dhabiti Yesu Yesu rafiki, ahadi zake kweli Yesu Yesu ni rafiki nimemuona dhabiti Yesu Yesu rafiki, ahadi zake kweli Kumtegemea Yesu ni utamu sana Kukubali neno lake raha moyoni Kumtegemea Yesu ni utamu sana Kwake daima nimepata uzima na amani Kumtegemea Yesu ni utamu sana Kukubali neno lake raha moyoni Kumtegemea Yesu ni utamu sana Kwake daima nimepata uzima na amani Yesu Yesu ni rafiki nimemuona dhabiti Yesu Yesu rafiki, ahadi zake kweli Yesu Yesu ni rafiki nimemuona dhabiti Yesu Yesu rafiki, ahadi zake kweli Neno lake bwana ni kweli na Amina Ahadi zake kweli Akiahidi kitu lazima atatenda Ahadi zake kweli Mungu ni mwaminifu ooh Ahadi zake kweli Ahadi za kweli Ahadi zake kwel
Writer(s): Peter Audiphaxad Omwaka Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out