album cover
Hayaa
59.059
Afro-Beat
Hayaa foi lançado em 10 de novembro de 2022 por Melanin Queen como parte do álbum Hayaa - Single
album cover
Data de lançamento10 de novembro de 2022
SeloMelanin Queen
Melodicidade
Acusticidade
Valence
Dançabilidade
Energia
BPM95

Créditos

INTERPRETAÇÃO
Phina
Phina
Interpretação
COMPOSIÇÃO E LETRA
Sarah Michael Kitinga
Sarah Michael Kitinga
Composição
PRODUÇÃO E ENGENHARIA
Aloynem
Aloynem
Produção

Letra

Si tulipanda miti, kivuli tayari sah, tuketi jua lisituchome
Siwezi kusaliti, kukuacha uende mbali
Sitetereki, shetani anikome
Nakupenda wewe tu ka habuba
Mahabuba
Tugandane gandane kama ruba
Kama ruba
Tulilinde zaidi letu huba
Letu huba
Tufurahi japo hatuna fuba
Hatuna fuba
Oh haya-haya hayaa
Haya-haya
Haya weh
Hayaa
Haya-haya
Haya-haya, hayaa
Nishike kidogo
Haya-haya
Aah kidogo
Hayaa
Haya-haya
Haya-haya
Hayaa
Huba lake ni tamu, walai sijawahi ona before ai before
Kama yeye
Nikishikwa na hamuu, sipati shida ya kumwita njoo, simwiti ng’oo
Aja mwenyewe
Nampa uroda, mpaka maji anaita m’ma
M’ma
Tam-tam kama soda, kimeumana chuma kwa chuma
Chuma
Akianza kwa shoulder, anafuata mbele na nyuma
Nyuma
Hajaniroga, kamali ameshani puna
Nakupenda wewe tu ka habuba
Mahabuba
Tugandane gandane kama ruba
Kama ruba
Tulilinde zaidi letu huba
Letu huba
Tufurahi japo hatuna fuba
Hatuna fuba
Oh haya-haya hayaa
Haya-haya
Haya weh
Hayaa
Haya-haya
Haya-haya, hayaa
Nishike kidogo
Haya-haya
Aah kidogo
Hayaa
Haya-haya
Haya-haya
Haya yaa
Written by: Sarah Michael Kitinga
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...