Vídeo da música

Marioo - Siwezi (Official Audio)
Assista ao videoclipe da música {trackName} de {artistName}

Apresentado no

Créditos

PERFORMING ARTISTS
Marioo
Marioo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Omary Ally Mwanga
Omary Ally Mwanga
Songwriter
Cuckie Daddy
Cuckie Daddy
Composer
Sweetbert Charles Mwinula
Sweetbert Charles Mwinula
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Cuckie Daddy
Cuckie Daddy
Producer

Letra

I know that you deserve some more Anything that you are baby you should let me know You know that ukinitenda utaniumiza roho Maana si unajua we ndo kipenda roho Kuwe kuna mvua jua we baki hapa kando yangu Iwe shibe njaa basi nile nawe kama kuna huzuni karaha We ndo faraja yangu siku za furaha naenjoy nawe Why why why nikulize Why why why nikulize Why why why nikulize Why why why nikulize Siwezi kukuacha wala kukuliza mpenzi mpaka nizikwe Siwazi kuachana wala kukuliza mpenzi mpaka nizikwe Umenifanya niwaze ningewezaje dunia bila uwepo wako aah Umenifanya nijiulize je ningeenjoy hii dunia nisingekuwa wako You're the one i have bbeen waiting for asali yaa moyo wangu Faraja yangu iliyomo ndani yangu kwenye ini yako Why why why nikulize Why why why nikulize Why why why nikulize Why why why nikulize Siwezi kukuacha wala kukuliza mpenzi mpaka nizikwe Siwazi kuachana wala kukuliza mpenzi mpaka nizikwe
Writer(s): Nadia Sanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out