Letra

Unaenda sasa Mwaka wa tatu Sijala chips yai eti maisha ya tafu Baba sasa mwezi wa tatu Yani unaacha buku tule milo mitatu Utauwa Kuwa makini we utauwa Hayo sio mapenzi we utauwa Nachokiona utaniuwa Oooiiiih Hey Eti kısa nakupenda Ndo tuishi nyumba isiyo na mabati We baba ulionaga wapi aku Aku Nasema mimi sitaki aku Kula ugali na picha ya samaki Nachokiona Mwenzangu utanizeesha Utanizeesha Mwenzangu utanizeesha Utanizeesha Mwenzangu utanizeesha We baba huna maana Mbona tutauwana Yani mimi mtu mzima nilalie chama Yani hauna maana Unanichanganya Kisa wewe ni mmakonde ndo unilishe panya Sabuni ya kuoga tunaoshea vyombo Hata nkitembea minanuka shombo Naunavyo nichunga utasema kondoo Aku misitaki na ndo nishasema no Mi nimechoka haki ya nani nakukimbia Maana kila siku kuna dili unasikilizia Siwezi kuvumilia Gari lako bovu naomba unishushe abiria Hey Eti kısa nakupenda Ndo tuishi nyumba isiyo na mabati We baba ulionaga wapi aku Aku Nasema mimi sitaki aku Kula ugali na picha ya samaki Nachokiona Mwenzangu utanizeesha Utanizeesha Mwenzangu utanizeesha Utanizeesha Mwenzangu utanizeesha Utanizeesha Mwenzangu utanizeesha Utanizeesha Mwenzangu utanizeesha
Writer(s): Appy Tz Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out