Letra

Yoh yoh Zzero Ahh tia tia tia ti Tia tia tia tia ti Kwani niaje bado hujaskia ati ati Tingisha hizo mara matia tia ti Mikono juu ka unapenda matia tia tia Right, left ati ati Kwani niaje bado hujaskia ati ati Tingisha hizo mara matia tia ti Mikono juu ka unapenda matia tia tia Right, left ati ati Si napenda vile muda unayoyoma Si ni kama gode vile inakuchoma Si ni kama mbuku rada nishasoma Bado huto tutoto tupoa poa bado natuona Eeeh mahali niko huwezi uliza swali mtu Hapa kila mtu ako na kutu Shika wako mi nishike wangu mutu eeeh Acha kipusa basi mi nikubusu Ati kam tuzitoke, tudance adi shoke Na usiogope, mdogo tuziondoke Mkate msake, nipate njote Nai hadi coste, mi washa ni note Nakuwanga fete, twende twendete Shaka machete, jibambe usitete Si, leo ni siku yako mami Kam tukawatoke tukakule kingwai Na bado ukinijenga sitabaki ati ati ati Kwani niaje bado hujaskia ati ati Tingisha hizo mara matia tia ti Mikono juu ka unapenda matia tia tia Right, left ati ati Kwani niaje bado hujaskia ati ati Tingisha hizo mara matia tia ti Mikono juu ka unapenda matia tia tia Right, left ati ati Ati ati ati ati ati Tingisha hizo mara matia tia ti Rombosha ka uko nazo matia tia tia Matia tia tia Tingisha hizo mara matia tia ti Rombosha ka uko nazo matia tia tia Matia tia tia Cheki, mambo Lucy napenda hako ka pussy Kakue ka brown sanasana tu keusi Kako na tunywele tusoft ka tausi Ni karefu sana mi hukapimaga na uzi na Venye kuna joto si ukatoe ndani ya kamisi Najua kanasikia njaa, hakajabonya toka juzi Mi ndio nawezana, hao wengine jo ni upuzi Eeeh, hao wengine cheki Ati ni ngware ngware mdogo mdogo nikipiga bag Kamsupa kakakam kakadai kahug Kakadai nimpige maji mpaka ijae kwa jug Mdogo mdogo tukicheki movie ya Snoopie Dog Cheki, kwani niaje bado hujaskia ati ati Tingisha hizo mara matia tia ti Mikono juu ka unapenda matia tia tia Right, left ati ati Kwani niaje bado hujaskia ati ati Tingisha hizo mara matia tia ti Mikono juu ka unapenda matia tia tia Right, left ati ati Si napenda vile muda unayoyoma Si ni kama gode vile inakuchoma Si ni kama mbuku rada nishasoma Bado tutoto tupoa poa bado natuona Eeeh mahali niko huwezi uliza swali mtu Hapa kila mtu ako na kutu
Writer(s): Donald Rwebangira Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out