Músicas mais populares de JEMMIMAH THIONG'O
Créditos
COMPOSIÇÃO E LETRA
JEMMIMAH THIONG'O
Composição
Letra
Mipango ya Mungu ni ya ajabu
Mipango ya Mungu aipangapo
Hakuna mwanadamu yeyote
Awezaye kuipangua mipango ya Mungu
Mipango ya Mungu ni ya ajabu
Mipango ya Mungu aipangapo
Hakuna mwanadamu yeyote
Awezaye kuipangua mipango ya Mungu
Kila mtu ana riziki yake
Kila mtu ana baraka zake
Mafanikio maishani mwetu
Huenda sambamba na mipango ya Mungu
Kila mtu ana riziki yake
Kila mtu ana baraka zake
Mafanikio maishani mwetu
Huenda sambamba na mipango ya Mungu
Mipango ya Mungu ni ya ajabu
Mipango ya Mungu aipangapo
Hakuna mwanadamu yeyote
Awezaye kuipangua mipango ya Mungu
Mipango ya Mungu ni ya ajabu
Mipango ya Mungu aipangapo
Hakuna mwanadamu yeyote
Awezaye kuipangua mipango ya Mungu
Kuzaliwa malezi na elimu
Sijivune Mungu ndiye aliyepanga
Alipanga upate hivi vyote
Ili ukaweze kumtukuza kwazo
Kuzaliwa malezi na elimu
Sijivune Mungu ndiye aliyepanga
Alipanga upate hivi vyote
Ili ukaweze kumtukuza kwazo
Mipango ya Mungu ni ya ajabu
Mipango ya Mungu aipangapo
Hakuna mwanadamu yeyote
Awezaye kuipangua mipango ya Mungu
Mipango ya Mungu ni ya ajabu
Mipango ya Mungu aipangapo
Hakuna mwanadamu yeyote
Awezaye kuipangua mipango ya Mungu
Mipango ya Mungu ni ya ajabu
Mipango ya Mungu aipangapo
Hakuna mwanadamu yeyote
Awezaye kuipangua mipango ya Mungu
Mipango ya Mungu ni ya ajabu
Mipango ya Mungu aipangapo
Hakuna mwanadamu yeyote
Awezaye kuipangua mipango ya Mungu
Writer(s): Jemmimah Thiong'o
Lyrics powered by www.musixmatch.com