Letra

Aaaah Aaaaah Aaaaah Aaaaah (Sppessor) Mmh Siwezi Rudia Matapishi Matapishi Ye si alincheat Akafanya nikaumia Namchezaji nkawa shabiki Ee Shabiki Wenzangu wanacheza mi nabaki naumia Hasara Roho Pesa ni Makaratasi Yanini unitoe Roho Kama haunipendi basi Nami nna Moyo Tena wanyama sio bati Kwanini unitoe Roho Kama haunipendi basi Nachotaka kukwambia me sikuchukiii Sina ubaya na wewe wala kisasi Nakuachana na wewe wala sijutii Huenda haikupangwa haikuwa yangu ridhiki Njegeleee Njegeleee Njegelee Njenjee Njegele Njegele (Njegeleee Njegelee) Njegeleee Njegeleee Njegelee Njenjee Njegele Njegele (Njegeleee Njegelee) Njegeleee Njegeleee Njegelee Njenjee Njegele Njegele (Njegeleee Njegelee) Njegeleee Njegeleee Njegelee Njenjee Njegele Njegele (Njegeleee Njegelee) Mmh Hali yangu nitapambana na Hali yangu Oooh Hali yangu napambana na Hali yangu Hari yangu nitapambana na hali yangu Ooh Hali yangu napambana na hali yangu Hasara Roho Pesa ni Makaratasi Yanini unitoe Roho Kama haunipendi basi Nami nna Moyo Tena wanyama sio bati Kwanini unitoe Roho Kama haunipendi basi Nachotaka kukwambia me sikuchukiii Sina ubaya na wewe wala kisasi Nakuachana na wewe wala sijutii Huenda haikupangwa haikuwa yangu ridhiki Njegeleee Njegeleee Njegelee Njenjee Njegele Njegele (Njegeleee Njegelee) Njegeleee Njegeleee Njegelee Njenjee Njegele Njegele (Njegeleee Njegelee) Njegeleee Njegeleee Njegelee Njenjee Njegele Njegele (Njegeleee Njegelee) Njegeleee Njegeleee Njegelee Njenjee Njegele Njegele (Njegeleee Njegelee) (Kamix Laizer)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out