Vídeo da música
Vídeo da música
Créditos
INTERPRETAÇÃO
Abigail Chams
Interpretação
Whozu
Interpretação
Chino
Interpretação
COMPOSIÇÃO E LETRA
Oscar John Lelo
Composição
Isaya Michael Mtambo
Composição
Alawi Omary Alawi
Composição
PRODUÇÃO E ENGENHARIA
Salim Rashid Kassim Maengo
Produção
Letra
[Intro]
Ah, ah, ah, ah
Ah, ah, ah, ah
Ah, ah, ah, ah
Ah, ah, ah, ah
[Verse 1]
Yalaa wee
Kwani we ni nani we bwana we, bwana wee
Usinizoee
Haiwezekani me kuwa na we bwana we mmh
[Chorus]
Ume mpata mpenzi lakini hawezi kunifikia (Ooh hawezi kunifikia)
Ana sura nzuri lakini hawezi kunifikia (Ooh hawezi kunifikia)
[Bridge]
Ah, ah, ah, ah (Kunifikia)
Ah, ah, ah, ah (Hawezi kunifikia)
Ah, ah, ah, ah (Kunifikia)
Ah, ah, ah, ah (Hawezi kunifikia)
[Verse 2]
Imekula kwako
Hutakuja pata, atakupenda kama mimi
Imekula kwako
Hutakuja pata, atakupenda kama mimi
[Verse 3]
Shauri yako
Huyo mtu wako ana sura kama jini
Shauri yako
Huyo mtu wako ana sura kama jini
[Chorus]
Ume mpata mpenzi lakini hawezi kunifikia (Ooh hawezi kunifikia)
Anapiga jiu lakini tatizo ni kibamia (Ooh hawezi kunifikia)
[Bridge]
Ah, ah, ah, ah (Kunifikia)
Ah, ah, ah, ah (Hawezi kunifikia)
Ah, ah, ah, ah (Kunifikia)
Ah, ah, ah, ah (Hawezi kunifikia)
[Verse 4]
Usinifanye nimwage mchele kwenye umati (Usinifanye nimwage mchele kwenye umati)
Mwanaume gani wewe? ama unataka chapati? (Mwanaume gani wewe? ama unataka chapati?)
Usinifanye nimwage mchele kwenye umati (Usinifanye nimwage mchele kwenye umati)
Mapenzi una force wewe, wakati ashasema hakutaki (Mapenzi una force wewe, wakati ashasema hakutaki)
[Chorus]
Ume mpata mpenzi lakini hawezi kunifikia (Ooh hawezi kunifikia)
Ana sura nzuri lakini hawezi kunifikia (Ooh hawezi kunifikia)
[Outro]
Ah, ah, ah, ah (Kunifikia)
Ah, ah, ah, ah (Hawezi kunifikia)
Ah, ah, ah, ah (Kunifikia)
Ah, ah, ah, ah (Hawezi kunifikia)
[Outro]
Chaka jinja, chaka jinja
Chaka- chaka, chaka-chaka
Chaka jinja, chaka jinja
Chaka- chaka, chaka-chaka
Chaka jinja
E wena, ewei chaka jinja
Chaka-chaka, chaka-chaka
Chaka jinja
Chaka jinja, chaka jinja
Chaka- chaka, chaka-chaka
Chaka jinja
Written by: Alawi Omary Alawi, Isaya Michael Mtambo, Oscar John Lelo