Vídeo da música

Mr. President
Assista ao videoclipe da música {trackName} de {artistName}

Créditos

PERFORMING ARTISTS
Roma Mkatoliki
Roma Mkatoliki
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Roma Mkatoliki
Roma Mkatoliki
Songwriter
Ibrahim Musa
Ibrahim Musa
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Bin Laden
Bin Laden
Producer

Letra

By... Mwl. Julius Kambarage Nyerere Ikulu ni mahali patakatifu, ikulu ni mahala patakatifu Mimi sikucha guliwa na wananchi wa Tanzania Kuja kupageuza kuwa pango la walanguzi Claps claps claps By... Roma Drop drop drop drop drop yop Haaa haaa... yes Surprise ...Tongwe records We are here for revolution wooord Mr. president .welcome to white house Thank you... aaaah ...thank you ...yeaaah Mi ndo' roma mkatoliki mwenye asili ya kiyahudi Mpare wa milimani sa lamu ya kikwetu urewedi We ni mkwere wa chalinze ambaye hutamsahau mnyakyusa...(Mwakyembeee) Aliye wafundisha monduli siasa Aliyekula kiapo kwa agano jipya la wakorintho Siyo msabato mwenye siasa za kubattle kama Zitto Mwenye wito wa Appocalypto husssle za Kambikatoto Msaka ndoto kama kristo shujaa kama Mrisho Mpoto Jasiri kama Mandela busara kama Nyerere Niliyejificha mapangoni mithili ya Otango Osale So usinidanganye kwa uchawi waaa kutumia ndulele Au vita vya majimaji nife kama Kinjekitile Hatutaki siasa za kale, siku hizi tunawahi kubalehe Nawapa pole wakazi wote wa Tandale kwa Mtogole Akhsante Sheikh umeniita ikulu sio kisa nina nyota ya mshale Najua mvi sio busara ila naomba amani itawale Ikulu yako ina thamani zaidi ya falme za kiarabu Cha ajabu hawaithamini na inapoteza thawabu Taifa lilikutabri tangu enzi ukiwa waziri J.K wa 2 utakuja ongoza hii serikali Yenye vilio kote kama kina mama wa Galilaya Wanaoutafuta ukombozi wasimamishe Pobilahaya Viongozi wetu ni mafia na mabeautifull lier Nilikuwa na ndoto hizo ila bado hawaja niinspire Angalau mapinduzi kama Macio Maximo Usihangaike kumtafuta Roma... mi!! Hakimu wa getho Mwenye sauti ya mamlaka!!! iliyomfikisha Mrombo Keko Baada ya kukemea ufisadi na sera za Karamagi Na waliokula jasho letu kwenye migodi ya Buzwagi Utazuia vipi ongezeko la wimbi la ukeketaji... Wakati Ngariba ndo' diwani wa kata kwenye kijiji!! Neither do I...!! hongera ulipima ukimwi Watanzania nasi tuamke tusimpige kibao tu Mwinyi Hapa nagundua aya-tul - munafik - thalatha Inawezekana aliishia alifu wakati anasoma madrasa Huu sio muda wa kujadili kesi za Manji na Mengi Hayo ya Mungu we Kaisari jadili mambo ya msingi Teacher alipojiita mtabiri Tanganyika wote vipofu Padre wa kwanza pentekoste ubatizo wa maji marefu Machozi yalinitoka Segera watoto hawapati haki Wengi wamekimbia shule basi lije wauze visheti Wanaosomeshwa kwa mtaji wa chapati na uvuvi wa samaki Wabunge wao wamekaa na wanajiita wanaharakati!! Rudi kwenu kahamasishe nduguzo hawana taaluma Wazaramo wamegoma soma still mwali wanamcheza ngoma Wanalia Kilwa Kivinje huku wanaocheka ni wabunge Walionunua kura ya bibi kwa kumuhonga doti ya kitenge Hata wamasai walikuchagua kwa kura nyingi za upendo Wakiamini mtetezi yuaja wa jimbo la Oldoyo Sambo Waambie what is going on ndani ya himaya ya bwawa la Mtera Waonyeshe na mikataba ya utawala wa mgodi wa Kiwira Jeshi lote kwenda Tarime hawakuwa na njia mbadala Na walioteketea Mbagala!! Mr.pres ... Haya masikharaaaa!!! Sina maana utoke wewe hicho kiti umuachie professor Nisamehe kama nakosea maana mimi sio mwanasiasa Claps claps claps By... Mwl... Julius Kambarage Nyerere Kwa hiyo kitu kimoja tunataka kuelewa... Ni hali ya matatizo ya nchi yetu yalivyo sasa hivi... Eee!! Kwasababu... sera ya... ay... awamu ya kwanza... awamu yangu mimi... Imefanya mema... imefanya ya kijinga... Ya kijinga yanaachwa...!! lazima yaachwe... Ubaya wenu ni kwamba... mnaacha mema... mnachukua ya kijinga
Writer(s): Ibrahim Musa Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out