Letra

Aanhuh! Trio Mio (Ayo track ni ya Leo) Ah, mkuruweng na ingine juu ya system Tuko ndani utadhani tuko deep state Mawithin nko maskani na ka mistress Na hatutoki tuko ndani ka Tuko ndani ka (In the inside) (In the inside ooh) Walai tuko ndani ka (In the inside) (In the inside ooh) Tuko ndani (In the inside) (In the inside ooh) Walai tuko ndani ka (In the inside) (In the inside ooh) Utaskia fiti Ndani kabisa Ndani ka Very nice Ndani ka? Leo utaitana Tunacheza ndani huku mechi imeivana Ndani kama OceanGate, vile kunazamwa Naenda deep sea diving bila floater, nina njama Ndani kama swallow Mbegu ya avacado Kismat ya asubuhi unaangukia ndani ya thermos Ndani ka sim card Ka nduki ya Saka Ndani ka mashimo juu ya cheeks za Sakaja Tunalala ndani Mi na mpoa flani rada safi Mzing hatutoki tuko ndani Vibes and Inshallah ni masticks na majani (na majani) Leo mteja hapatikani Tuko ndani ka (In the inside) (In the inside ooh) Walai tuko ndani ka (In the inside) (In the inside ooh) Tuko ndani (In the inside) (In the inside ooh) Walai tuko ndani ka (In the inside) (In the inside ooh) Aah yeah yeah yeah Hatutoki ni kaveve na ombitho Tuko ndani kama dredi za mkorino Ni kapoa, ni katam kama pringles Nikitoa kanajam juu ya fimbo Na ni tamu kama wali wa mnazi Songa na matime wacha kupoteza wakati Mechi ndo inaanza weka ball katikati Nyundo leo lazima ishikane na kabati Tunalala ndani Mi na mpoa flani rada safi Mzing hatutoki tuko ndani Vibes and Inshallah ni masticks na majani (na majani) Leo mteja hapatikani Tuko ndani ka (In the inside) (In the inside ooh) Walai tuko ndani ka (In the inside) (In the inside ooh) Tuko ndani (In the inside) (In the inside ooh) Walai tuko ndani ka (In the inside) (In the inside ooh) Mkuruweng na ingine juu ya system (mkuruweng) Tuko ndani utadhani tuko deep state (tuko in) Mawithin nko maskani na ka mistress Na hatutoki tuko ndani ka Tuko ndani ka (In the inside) (In the inside ooh) Walai tuko ndani ka (In the inside) (In the inside ooh) Tuko ndani (In the inside) (In the inside ooh) Walai tuko ndani ka (In the inside) (In the inside ooh) Oooh ooooh ohhh (inde inde inde) Oooh ooooh ohhh (inde inde inde) Oooh ooooh ohhh (inde inde inde) Oooh ooooh ohhh (inde inde inde)
Writer(s): Trio Mio, Alvin Handro, Bien Barasa Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out