Letra

Krrrt krrrt Huh huh huh! Don't mind me Krrrt krrrt Watoto wakorofi Stunna!! Uh, skia huh huh huh Ati don't mind me Kwanini? Niko club na mapeng wanataka kunitrace Usitense mi nakam saii Ngata inadie, na tenje inadie Lakini usitoke mi ntakam sai Na sina ID na bouncer akiuliza We mshow mi ntacome saii Ati, nita nita nita nita Ati ati! Don't mind me Kwanini? Niko club na mapeng wanataka kunitrace Usitense mi nakam saii Ngata inadie,na tenje inadie Lakini usitoke mi ntakam sai Na sina ID na bouncer akiuliza We mshow mi ntacome saii Nita nita nita nita nitacome sai Colour blind but this year naingia Colours Na between school na career ni kubalance Coz I'm the big man, huh! With a big swag Ningekuwa ndula ningeitwa new balance Between life ama school, hii career Btch I made like 4M ngoja sasa this year Niliomba sauti yangu ikuwe salary ya engineer Stunna big dawg Woof Nikibark waskia Approach with a caution kama, silencer Hakuna dem huku nje siwezi, manage her Na wanaanza kuniita ati, caliber Shot zangu zote hukuwa loaded niko ndani bruv Big facts nigga, ma zig zag nigga Mradi zangu kote kote hautawai nyita Niko kwa ndege kitu nabeat ni timelapse na jetlag So I don't give a fck ah Ati ati! Don't mind me Kwanini? Niko club na mapeng wanataka kunitrace Usitense mi nakam saii Ngata inadie,na tenje inadie Lakini usitoke mi ntakam sai Na sina ID na bouncer akiuliza We mshow mi ntacome saii Nita nita nita nita nitacome sai Huku form tu ni mukuchu Chingching Mimi na Jere tuko juu ya ma bling bling Doba zetu mbwaya si ndo real deal Zenu bana ziko chini si ndio kingpin Chuma ilale ndani ka inafit in Mama hunipa ganji hio naita pin pin Konyolo cup bana we drinking Nimefunga kilemba kama sim sim Ati unabanja sana kuna venye unanipiss ka mkojo Powerpuff girl mi ndio mojo jojo Venye hizi goshodo nazifikisha kwa lodjo Angalau kam kam form na ikuwe ni kolo Na niko niko na magoon Embakasi Tukidhigitha mitambo Hio haga naidandia kama donda na mlango Jaba na mix ni za doba za kitambo Ukibeef kamagera G nje utafumble Don't mind me Kwanini? Niko club na mapeng wanataka kunitrace Usitense mi nakam saii Ngata inadie, na tenje inadie Lakini usitoke mi ntakam sai Na sina ID na bouncer akiuliza We mshow mi ntacome saii Nita nita nita nita nitacome sai
Writer(s): Jeremy Maina Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out