Créditos

INTERPRETAÇÃO
Harmonize
Harmonize
Interpretação
COMPOSIÇÃO E LETRA
Rajabu Ibrahim Abdulkahali
Rajabu Ibrahim Abdulkahali
Composição
PRODUÇÃO E ENGENHARIA
Wambaga Made It
Wambaga Made It
Produção

Letra

[Intro]
Taifa limeshapata suluhu
Kinachofata ni mipango
Na majaliwa ya Mwenyezi Mungu
[Verse 1]
Analolipanga Mungu huwezi kulipangua
Alitupa Magufuli kisha kamchukua
Ametuachia jahazi na sisi ndio abiria
Jukumu letu ni kuchapa kazi maana yupo wakusimamia
[Verse 2]
Tutumbulie majambazi
Wala rushwa maharamia
Wasiotaka kufanyakazi
Wapenda pesa zakuvizia
[Chorus]
Mama tuvushe, taifa zima lina imani nawe
Tuvushe, hayati JPM alikutuwa wewe
Mama Samia tuvushe
Taifa zima tunakutazama wewe, mama tuvushe
[Verse 3]
Tena mpenda haki mtu wa Mungu
Fitina hataki wala majungu
Na ndoto za wanawake, shupavu zimetimia
Na huyu ndio rais wa kwanza mwanamke hapa Tanzania
[Verse 4]
Mama Samia
Anakwenda kumalizia
Miradi iliyobakia
Pole yenu mnaohofia
[Chorus]
Aah, mama (Waonyeshe)
Unavyotekeleza
Busisi bridge na surrender mnadaraja yote (Mama waonyeshe)
Ooh, waonyeshe (Unavyotеkeleza)
Na flyover zilizobakia (Mama waonyеshe)
Ooh, waonyeshe (Unavyotekeleza)
[Outro]
Standard gauge Air Tanzania (Mama waonyeshe)
Ooh, waonyeshe (Unavyotekeleza)
Barabara, elimu bure pia (Mama waonyeshe)
Oh, waonyeshe (Unavyotekeleza)
Mradi wa umeme Bwawa la Nyerere (Mama waonyeshe)
Oh, waonyeshe (Unavyotekeleza)
Ikulu chamwino Dodoma, izidi songa mbele (Mama waonyeshe)
Oh, waonyeshe (Unavyotekeleza)
Written by: Rajabu Ibrahim Abdulkahali
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...