album cover
Nitafika
343
Christian & Gospel
Nitafika foi lançado em 20 de dezembro de 2024 por MGATHA como parte do álbum Nitafika - Single
album cover
Data de lançamento20 de dezembro de 2024
SeloMGATHA
Melodicidade
Acusticidade
Valence
Dançabilidade
Energia
BPM80

Créditos

INTERPRETAÇÃO
Bebycia Ramuel
Bebycia Ramuel
Vocais
COMPOSIÇÃO E LETRA
Bebycia Ramuel
Bebycia Ramuel
Composição

Letra

Hakuna lenye mwanzo lisikuwa na mwisho ndugu zangu, kama Kuna huzuni basi furaha pia ipo,
Biblia inasema imekwisha,
Yesu alichukuwa huzuni zetu ili tuwe na furaha
Imekwisha imekwisha furaha yaja🙌😀
Hizi shida zina mwisho ipo siku nitacheka na mimi
Hizi shida zina mwisho ipo siku nitacheka na mimi
Verse 1
Ooouh ooouwwhooo
Niwa wale marafiki niwale majirani
Mlosema sitofika ziwafike habari
Mungu wangu ni yule yule kwenye dhiki ni yule yule wa rahani aliye ruhusu yanifike ndie atamaliza
Kwaiyo nitafika
Aahh nitafika
Hata kwa machozi nitafika
Ahaaaaahaaaaa
maana najua mbele yangu Kuna furaha Tena
nasema nitafika
Aaaaah nitafika
hata kwa mateso nitafika
hata kuwe na Bahari mtanikuta
ng\'ambo
mungu wangu ni yule yule aliyafanya yake kule atafanya yake pale atafanya mengine ooouwwh ooooh ohoo
CHORUS
Hizi shida zina mwisho ipo siku
nitacheka na mimi
Hizi shida zina mwisho ipo siku nitacheka na mimi
VERSE 2
Heeeeee hakuna changamoto maishani zinadumu milele milele milele
Wala hakuna kitu duniani kinachodumu milele milele
Anaedumu ni Mungu pekee
Mungu aliye hai mwenye uhai
Arejesha tabasamu
Kwaiyo nitafika
Aahh nitafika
Hata kwa machozi nitafika
Ahaaaaahaaaaa
maana najua mbele yangu Kuna furaha Tena
nasema nitafika
Aaaaah nitafika
hata kwa mateso nitafika
hata kuwe na Bahari mtanikuta
ng\'ambo
mungu wangu ni yule yule aliyafanya yake kule atafanya yake pale atafanya mengine ooouwwh ooooh ohoo
Hizi shida zina mwisho ipo siku
nitacheka na mimi
Hizi shida zina mwisho ipo siku nitacheka na mimi
Zina mwisho Zina mwisho oohooo yeee mimi nasema Zina mwisho zina mwisho zina mwishooo
Written by: Bebycia Ramuel
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...