album cover
Natulizana
130.411
Pop
Natulizana foi lançado em 10 de fevereiro de 2026 por Warner Music Africa como parte do álbum Natulizana - Single
album cover
Mais populares
Últimos 7 dias
00:00 - 00:05
Natulizana foi descoberta com mais frequência nos primeiros segundos de música durante a semana passada
00:00
00:05
00:20
00:30
00:35
00:40
00:50
00:55
01:00
01:05
01:10
01:20
01:30
01:45
02:00
02:10
02:15
02:35
02:40
02:55
03:05
03:10
03:20
03:30
03:45
03:50
04:00
04:20
00:00
04:26

Letra

[Verse 1]
Changanya tende na maziwa
Havifikii utamu wako
Wanipe embe au juice ya miwa
Mie nitakunywa tu wewe hapo
[PreChorus]
Unyagoni ulipochezwa
Hivi somo yako nani
Maana unayoninogeza
Kwangu ni mageni yani
Namaliza vingereza
Mara ooh I'm coming
Mengine siwezi kueleza
Maana haya hadharani
Alafu sipendi unavyonispoil sana
Vigift gift mwenzio unanichanganya
Eti nakosa mimi unaniomba wewe msamaha
Huko kunipenda ebu punguza bana
[Chorus]
Nami natulizana oh oh oh oh
Tupendane kiama oh oh oh oh
Nami natulizana oh oh oh oh
Tupendane kiama oh oh oh oh
Nami natulizana oh oh oh oh
Tupendane kiama oh oh oh oh
Nami natulizana oh oh oh oh
Tupendane kiama oh oh oh oh
[Verse 2]
Vichepu chepu vya mjini mafua
Mi vumbi la nini chafya
Kichefuchefu ya nini wajitibua
Unichukie uje niacha
Alafu huku kususa we unajua
Ni utoto ninikua nitaacha
Tukigombana wahi kuniblokua
Ukichelewa puuh! nafa
[PreChorus]
Unyagoni ulipochezwa
Hivi somo yako nani
Maana unayoninogeza
Kwangu ni mageni yani
Namaliza vingereza
Mara ooh I'm coming
Mengine siwezi kueleza
Maana haya hadharani
Alafu sipendi unavyonispoil sana
Vigift gift mwenzio unanichanganya
Eti nakosa mimi unaniomba wewe msamaha
Huko kunipenda ebu punguza bana
[Chorus]
Nami natulizana oh oh oh oh
Tupendane kiama oh oh oh oh
Nami natulizana oh oh oh oh
Tupendane kiama oh oh oh oh
Nami natulia dear oh oh oh oh
Tupendane kiama oh oh oh oh
Nami natulizana oh oh oh oh
Tupendane kiama
Written by: Nasibu Abdul Juma Issaack
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...