Vídeo da música

Them Mushrooms - Nyambura
Assista ao videoclipe da música {trackName} de {artistName}

Créditos

PERFORMING ARTISTS
Them Mushrooms
Them Mushrooms
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Them Mushrooms
Them Mushrooms
Songwriter
Teddy Kalanda Harrison
Teddy Kalanda Harrison
Songwriter

Letra

Niatia riu Nyambura Niatia riu my love I love you Nyambura just like Nyama choma Niatia riu Nyambura Niatia riu my love I love you Nyambura just like Fish and chips Kilakini kikuona Ulimi hufunga kitanzi Na mate hunikauka mimi Hupumbaa fahamu sina Leo ninajitolea Kwani nimekwisha shindwa Penzi limenizidia Imebidi nikuelezee Aaaa Leo nakuambia, Ili upate kujua Yaliyo moyoni wangu Aaaa Leo nakuambia, Ili upate kujua Yaliyo moyoni wangu Nyambura I love you Like fish and chips Nyambura nakupenda kama nyama choma Kila unapotabasamu Magoti hunitetema Na moyo hudunda mbio, mimi Hupumbaa fahamu sina Mie sili wala silali Kwa kukuwaza we Nyambura Moyoni nasononeka Juu yako wewe Nyambura Aaaa Leo nakuambia, Ili upate kujua Yaliyo moyoni wangu Aaaa Leo nakuambia, Ili upate kujua Yaliyo moyoni wangu Nyambura I love you Like fish and chips Nyambura nakupenda kama nyama choma Nyambura I love you Like fish and chips Nyambura nakupenda kama nyama choma Nyambura I love you Like fish and chips Nyambura nakupenda kama nyama choma Niatia riu Nyambura Niatia riu my love I love you Nyambura Niatia riu my love Aaaa Leo nakuambia, Ili upate kujua Yaliyo moyoni wangu Aaaa Leo nakuambia, Ili upate kujua Yaliyo moyoni wangu Nyambura I love you Like fish and chips Nyambura nakupenda kama nyama choma Nyambura I love you Like fish and chips Nyambura nakupenda kama nyama choma Nyambura I love you Like fish and chips Nyambura nakupenda kama nyama choma Nyambura I love you Like fish and chips Nyambura nakupenda kama nyama choma Nyambura I love you Like fish and chips Nyambura nakupenda kama nyama choma Nyambura I love you Like fish and chips Nyambura nakupenda kama nyama choma Nyambura I love you Like fish and chips Nyambura nakupenda kama nyama choma End
Writer(s): Teddy Harrison Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out