Letra

Liko lango moja waaazi Ni lango la mbinguniii Na wote wa ingiaawo Watapata nafasiiii Yesu ndie Lango ndiye Yesu Bwana (oh alleluya) Wote waingie kwake (alleluya ndie taa) Lango lango lango laaango (alleluya ndie taa) La mbinguniii Niwaziii Yesu ndie Lango hili Hata sasa ni wazii Kwa wa kubwa na wadogo Tajiri na maskini Yesu ndie Lango ndiye Yesu Bwana (ooh alleluya) Wote waingie kwake (alleluya ndie taa) Lango lango lango laaango (alleluya ndie taa) La mbinguniii Niwaziii Hili lango o la raha Ni lango la rehemaa Kila mtu apitae Hana majonzi tena Yesu ndie Lango ndiye Yesu Bwana (ooh alleluya) Wote waingie kwake (alleluya ndie taa) Lango lango lango laaango (alleluya ndie taa) La mbinguniii Niwaziii Tukipita lango hili Tutatatua mzigoo Tulio chukuwa kwanza Tuta vikwa uzimaa Yesu ndie Lango ndiye Yesu Bwana (ooh alleluya) Wote waingie kwake (alleluya ndie taa) Lango lango lango laaango (alleluya ndie taa) La mbinguniii Niwaziii Hima ndugu tuingie Lango halija fungwa Likifungwa Mara moja Halita funguliwa Yesu ndie Lango ndiye Yesu Bwana (ooh alleluya) Wote waingie kwake (alleluya ndie taa) Lango lango lango laaango (alleluya ndie taa) La mbinguniii Niwaziii Yesu ndie Lango ndiye Yesu Bwana (ooh alleluya) Wote waingie kwake (alleluya ndie taa) Lango lango lango laaango (alleluya ndie taa) La mbinguniii Niwaziii Yesu ndie Lango Lango ndiye Yesu Bwana (ooh alleluya) Wote waingie kwake (alleluya ndie taa) Lango lango lango laaango (alleluya ndie taa) La mbinguniii Niwaziii
Writer(s): Emachichi Emachichi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out