Letra

Saa zingine anayekupenda humpendi Unapenda mwingine Anayependa mwingine hata asiye mpendanga Na kila mtu anataka type yake Saa zingine hata wale wenye hadhi na sisi tunawakataanga Alivyonipenda yule, alivyonipendanga Alivyonipenda yule, sikujali nikamuaga OTILE BROWN Yule aliyenipenda bure Nikamuacha kwa ajili yake yule Aliyefata pesa na zaidi ya hiyo sikuwa na maana Kweli macho yalinihadaa Haki macho yalinihadaa Alivyonipenda kwa bidii, Suzeed kanionya mimi sisikii Urembo pekee hauridhishi Inahitaji zaidi Type yangu, ni yule anaejua thamani ya penzi langu... Type yangu, ni yule anaenienzi Ina maana gani, uwe na msichana mrembo Dunia Nzima, na hakupendi? Ina maana gani uwe na mume Mwenye hela chungu nzima na hakudhamini? Alivyonipenda yule, alivyonipendanga Alivyonipenda yule, sikujali nikamuaga KING KAKA Alikuwa wangu wahu wakati nilikuwa nameless Nikimuona nasinzia ka Nameless Uko? Ntakuja kalesa Love ilikuwa genuine than leather Na huyu we started kitambo wakati skuma mezani was diambo Wakati stima kwangu was candle Wakati birthday yake haikuwa na keki Wakati nikisota alinipiga jeki Nikachanganyikiwa na rangi ya thao Yangu ikafunguka club ndio makao Leo Macha kesho coast tunakacha hata Tulizi document snapchat Niko empty nammiss kishenzi Alinipa ya kweli mapenzi Lonely mamiss alivyonipendanga Alivyonipenda yule, alivyonipendanga Alivyonipenda yule, sikujali nikamuaga
Writer(s): Jacob Obunga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out