Letra

Nilikua wa kudharauliwa Ukanipa heshima bwana Sijui niseme nini Hakuna chochote kile Ninaweza jivunia Isipokua neema yako Nilikua wa kudharauliwa Ukanipa heshima Sijui niseme nini Hakuna chochote kile Ninaweza jivunia Isipokua neema yako Usngelikuwepo, nisingekuwepo Nisingelipata mimi, upendo kama wako Ona neema, si ya kawaida Imenitoa kwa laana Hakuna chochote Ningefanya mimi Ilinikubaliwe na mungu Damu yako, ya dhamana Imeniepusha na ugumu Rehema, upendo Zimeniwezesha kuingia kwa baba Usingelijitoa, ningekua wapi Kwa kupigwa kwako tumepona Umebeba mateso, shida zote Msalabani, ukasema kuwa yote yamekwisha Yesuu Usngelikuwepo, nisingekuwepo Nisingelipata, upendo kama wako Ona neema, si ya kawaida Imenitoa kwa laana Hakuna chochote Ningefanya mimi Ilinikubaliwe na mungu Damu yako, ya dhamana Imeniepusha na ugumu Rehema, upendo Zimeniwezesha kuingia kwa baba Ona neema, si ya kawaida Imenitoa kwa laana Hakuna chochote Ningefanya mimi Ilinikubaliwe na mungu Damu yako, ya dhamana Imeniepusha na ugumu Rehema, upendo Zimeniwezesha kuingia kwa baba Ona neema, si ya kawaida Imenitoa kwa laana Hakuna chochote Ningefanya mimi Ilinikubaliwe na mungu Damu yako, ya dhamana Imeniepusha na ugumu Rehema, upendo Zimeniwezesha kuingia kwa baba ... END
Writer(s): Marume Bayizere Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out