Letra

Oh oh yeah yeah Oh yeah yeah Siwezi ficha jungu li la kaya Siri yanifukuta vibaya Mi tapatapa nimelowa ile mbaya Nyakanyaka moyo ume-desire oooh! Nikikupa moyo basi usiulize Na kama ukinipa kweli usiniigize Baki nami kwenye mwanga na giza Usinipimie penzi ukinibamiza Mwenzako nakuelewa Oou oo eeeee(Nakuelewa) Ooou eeeee(Mwenzako nakuelewa) Heeey oo eeeee(Nakuelewa) Ooou eeeee Ukiweza kunifanya nisijejutia Ni thamani zaidi ya gari Ukiweza penzi letu kulipalilia Utamu na raha darling Darling, Darling (oooo nananaaaa) Hey baby baby (oooo nananaaaa)eeeh Hizo mboni kama umenita Kidari ulivyochanika Hisia umezifunika Umeninogea Ooooh nikikupa moyo basi usiulize Ei na kama ukinipa kweli usiniigize Oouh baki nami kwenye mwanga na giza Usinipimie penzi ukinibamiza Mwenzako nakuelewa Ooooh oooh yeee(nakuelewa) Ou yei ye yeeeee (mwenzako nakuelewa) Hey o yee eeei(nakuelewa) Heeeeey yeyeye ah Mwenzako nakuelewa Nakuelewa Mwenzako nakuelewa Nakuelewa Oou nikikupa moyo basi usiulize Ei na kama ukinipa kweli usinigize Habaaa!
Writer(s): Maua Sama Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out