Letra

Palipo moshi pana moto, Cheki shisha/ Hapatoshi kwa huo mtoko, Feki pisha/ Naona pochi yenye noti hauwezi shika/ Usinichoshe Mi ni Boss, Mechi kwisha/ Na ka ni Rose Rose Nita graph bish/ Nikilenga shot sikosi, Uta-survive vipi??/ Naenda Mosi mosi sio kwa kasi bish/ Sina low stock, Simpi chance snitch/ Sikuwa na Passport wala Password/ Au PIN lakini mjini nika-Crack code/ Unataka kuwa mimi?? Ahh. Basi foji/ Hauna code, Piga chini naitwa Land lord/ Hakuna mganga zaidi ya Mungu, Acheni ushamba washkaji/ Msijitie gundu, Kuweni wapambanaji/ Kaza kamba, uweze kuwa in charge/ Kenge hawi mamba,kwa kukesha ndani ya maji/ Ukiwa hey bebe hauwezi hustle ka mimi/ Hauwezi we kuwa mi we kaa chini/ ANHAA! Mzee sifumbi macho usingizini/ Vya bei ya chee we kaa navyo mi vya nini?/ Ole Chizza Ole Chizza Mi sijikwezi acha ukaksi, Boss/ Ukiona sipendezi rusha basi pochi/ Mambo, Yote kwa soksi/ Dudu bongo du kinaa mzaa huzaa mkosi/ Umaskini sio dhambi, Japo sio jambo jema/ Haupati manzi ukiwa hauna jambo, Yaani ndio basi tena/ Mi ni mjeshi, Kwenda race sioni kesi kid/ Bila cash, Hauwi freshi hauiwezi league/ Baby girl, Unahitaji kuni please, Nataka nile shot kama kennedy/ Uko na desperate disease, Na mimi ndio ile dangerous remedy/ Laana sijapewa, kutwa ninaombewa na mama/ Ukinipa mihadi hewa, Mi nachukua hatua chanya/ Na sijawahi jivika umasihi/ Makuzi hayafai ndio maana Baba wa taifa alificha CV/ Ukiwa hey bebe hauwezi hustle ka mimi/ Hauwezi we kuwa mi kaa chini/ ANHAA! Mzee sifumbi macho usingizini/ Vya bei ya chee we kaa navyo mi vya nini?/ Ole Chizza Ole Chizza Er day, they ask how am doing/ Nawauliza kwenda kasi nyie hamjui?/ Hamkui?? Hamkui kui, Dafu hamfui/ Gamba nyeupe na nyeusi kama chui/ Fresh after death, Mi ndio King wa ma Queen/ You better take a bow, Whenever i'm coming in/ Hata wakisema mi nazidi tu kuwin/ Wana hate the stage, Hawana budi ku sing/ Anhaaaa.! Ole Chizza Ole Chizza Ole Chizza Ole Chizza
Writer(s): Fareed Kubanda Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out