Letra

Nijapopita bonde la uvuli wa mauti Sitaogopa, sitaogopa Sitapungukiwa kitu Ukiwa nami Yesu ni salama Sitapungukiwa kitu Ukiwa nami Yesu ni salama Sitapungukiwa kitu Ukiwa nami Yesu ni salama Nijapopita kwenye bonde la uvuli wa mauti Sitaogopa maana wewe u pamoja nami Yesu Nijapopita kwenye bonde la uvuli wa mauti Sitaogopa maana wewe u pamoja nami Yesu Gongo lako na fimbo yako, Vyanifariji Umenipaka mafuta yako, Na kikombe changu chafurika Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu Nijapopita bonde la uvuli wa mauti Sitaogopa, sitaogopa Maana wewe u pamoja nami Sitaogopa, sitaogopa Nijapopita bonde la uvuli wa mauti Sitaogopa, sitaogopa Maana wewe u pamoja nami Sitaogopa, sitaogopa Bwana ndiye mchungaji wangu Katika malisho ya majani mabichi, hunilaza Na kando ya maji ya utulivu, huniongoza Nataka nikwambie Haijalishi unapitia katika mazingira gani Hali gani Naomba nikuachie kitu Ya kwamba Bwana ndiye mchungaji wetu Atafanya kila kitu ambacho wewe unaona huwezi Atakusaidia
Writer(s): Sara Nyongole Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out