Letra

Aaah uuh ooh oh, ooh chinga Ah ah aaaah ah Aaah uuh ooh oh, ah ah ah Yeah sijui hata nifanyeje Sijui hata nifanye nini me Maana hata siamini Hmn no ho Nilikula kiapo nikungoje Ila bado haiingi akilini Maana nishakula ya mini yawe Eh kwa mashogazo ulichota mafumbo Ngoja ngoja inaniumiza tumbo Masikini umeshafata mkumbo, yaani umesepa Umeziacha zimejaza na rundoo Na una ponda yangu fupi myundo Eti unaning'ong'a, tajiri wa uvundo Ndio chanzo umeniteka, aah Na naimani nitajijengea Nisikuwaze kwa ubaya kwa ubaya Maana before nlitimia Leo uwe mfano wa bandama umebanduka Labda yango nyota imefifia wamekuteka we ah we ah Simanzi imenielemea shilingi imepinduka Kama usiporudi (nitachelewaa) Oh oh (kupona nitachelewa) Ah Nitachelewam mama (nitachelewa) Hmm Hmm (kupona nitachelewa) Kupona maradhi ya moyo (nitachelewaa) Yeah (kupona Nitachelewa) Kama sio wewe nani tena (nitachelewaa) Oh no (kupona nitachelewa) Nitachelewa mama Ah ah aah, hmmm yeah Oh oh oh, yeah Mi najaribu kujisahaulisha ila moyo unagoma, unagoma Hasa nikikumba zako methali na nahau Japo unanionyesha dharau Moyo hautaki komaa, kukoma Mwingine sitaki penda na usidhani ka nitakusahau Oh maana vita penzi lako ntapigana Nikiamini utarudi we changama Maana siko sawa ujue, mkuki kwa nguruwe Kwa binadamu mchungu (wanaogombana) Siku zote ndio wananopatana Ama unapenda mi ninavolalama Sijui nilipokosa ujue Na malengo ujue Mimi najua wewe langu fungu Na naimani nitajijengea Nisikuwaze kwa ubaya kwa ubaya Maana before nlitimia Leo uwe mfano wa bandama umebanduka Labda yango nyota imefifia wamekuteka we ah we ah Simanzi imenielemea shilingi imepinduka Kama usiporudi (nitachelewaa) Oh oh (kupona nitachelewa) Ah Nitachelewam mama (nitachelewa) Hmm Hmm (kupona nitachelewa) Kupona maradhi ya moyo (nitachelewaa) Yeah (kupona nitachelewa) Kama sio wewe nani tena (nitachelewaa) Oh no (kupona nitachelewa) Nitachelewa mama Chinga, Konde music world wide Yeah yeah yeah yeah yeah
Writer(s): Inconnu Compositeur Auteur, Mkombozi Bakari Juma Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out