Letra

Al habib Shetta d shetta Yo Baba Qayllah Naaam Ha ha ha Michezo ya bata kuku haiwezi eh Tuliwaambia Ajobanjo OK Nisikilize kidogo Japo maneno sio tendo Tuchunge tusipoteze malengo Aga aga Mh Mama Zikazuka songombingo Eh eh eh Nishazoea nanasi nanasi nanasi Mama Tamu bila ukakasi ukakasi ndio unanichanganya Jua ukali wake dada unaendana Usije nipiga chini Mama nikashika tama Na ntalia sana nitakupata kichaa Oh lala oh lala lala Ok Basi walete Wale walee Tuwaonyeshe mashete Wale walee Wa ilala temeke Wale walee Ndio masaki manzese Wale walee Ok Eh Basi walete Wale walee Tuwaonyeshe mashete Wale walee Wa ilala temeke Wale walee Ndio masaki manzese Wale walee Aga Jua pesa Sina Usiwaze magari bajaji sina Wala Kiki sina ndio kwanza mwenzako nasaka jina Eh Jua pesa Sina Usiwaze magari bajaji sina Wala Kiki sina ndio kwanza mwenzako nasaka jina Aga Usije danga basi Mamaaa Ukaizurumu Nafsi Mamaaa eh Nishazoea nanasi nanasi nanasi Mama Tamu bila ukakasi ukakasi ndio unanichanganya Jua ukali wake dada unaendana Usije nipiga chini Mama nkashika tama Na ntalia sana nitakupata kichaa Oh lala oh lala lala Ok Basi walete Wale walee Tuwaonyeshe mashete Wale walee Wa ilala temeke Wale walee Ndio masaki manzese Wale walee Ok Eh Basi walete Wale walee Tuwaonyeshe mashete Wale walee Wa ilala temeke Wale walee Ndio masaki manzese Wale walee Ok Aga cheza jiangalie Mh mh Jiangalie Mama cheza jiangalie Aga mh Jiangalie Kaka Cheza Jiangalie Ah aga Dada cheza jiangalie Aga mh Jiangalie Cheza jiangalie Jiangalie Cheza jiangalie Jiangalie
Writer(s): Nurdin Bilal Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out