Letra

Nalikua muovu naye ameniosha Amenifanya mpya kwaajili yake Amenibadilisha naishii kwaajili Ya wingibwa upendo na rehema Zake zinazozidi ndani yanguu Ninani awezaye kututenganisha Na upendo wa Mungu eeh nani Ni nani tena awezaye
Writer(s): Martha Mwaipaja Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out