Letra

Ua la moyo limeshachelewa Furaha yangu wewe na unajua Ninapokupenda wee Kama roho yangu Popote nitapokwenda Uwe pembeni yangu Nitapunguza wenge wenge Mmmh wenge wenge Aah wenge wenge Mmmh wenge! Nitapunguza wenge wenge Mmmh wenge wenge Aah wenge wenge Mmmh wenge, nitapunguza Najua we hupendi wakituona Twapatapo raha Nasi twaendana na wanaona Tunapendana sana Ninapokupenda wee Kama roho yangu Popote nitapokwenda Uwe pembeni yangu Nitapunguza wenge wenge Mmmh wenge wenge Aah wenge wenge Mmmh wenge! Nitapunguza wenge wenge Mmmh wenge wenge Aah wenge wenge Mmmh wenge! Nitapunguza Kama nyota na mwezi Tunaridhi penzi letu (Ka Mix Lizer)
Writer(s): Marianne Namshali Mdee Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out