Letra

It's grand master Heey yeei yeee heey Maria maria Am in love Sina kitu bado mtaani Nakomaa Ngojea Nipate shavu Twende far Kilimanjaro Au vacation Zanzibar Maria maria baby Maria maria huuh Maria maria baby Maria maria huuh yeeh Unavyo tabasamu na hayo macho Navutiwa na kila kitu we uko nacho Nikienda mbali nakumbuka soga zako Swaga zinawadatisha mpaka shoga zako Mnyama ukali kila mtoko Fashion model Am acting chilly But you kill me on the low low Ume-stand out Kama logo Donge nono Am so Ice and I'm in love with my coco Maria maria baby Maria maria huuh Maria maria baby Maria maria huuh Music on repeat Fun retreat Kabla ya breakfast twende fitness Kisha milimani kurelief stress Together we get lit Take the lead Minding our business Nani wakumjali we ndo mistress Nikubebe jujuu. Bubuu Haters tuwaangushe puu puu We ndo yangu lulu Wish you Love me like the way that I do Maria maria baby Maria maria huuh Maria maria wewe Maria maria huuh Maria maria Am in love Sina kitu bado mtaani Nakomaa Ngojea Nipate shavu Twende far Kilimanjaro Au vacation Zanzibar Maria maria baby Maria maria huuh Maria maria yeeiyeeye Maria maria huuh Sijali wa ushuani ama Uswazi Kwani kitu gani Nje uwa mapambo kitu ndani Sitaki uwe mzugaji Bora uwe Mchungaji Bora Niwe kondoo uwashangaze kuwa mfugaji Mpaka umenkaa kichwani Una kipaji Wengi uwakimbia sitambulishi hata washkaji Unavyonipa burudani Tamasha flani Homa ya jiji umenitoa mashakani Cjiwezi hasilani maneno ya kizamani Muhuni wa maskani umenizama mpaka ndani Uko Matata kama flavy Break hapo hazikabi Fly Kama rubani Makinika kwa usukani Maria maria Am in love Sina kitu bado mtaani Nakomaa Ngojea Nipate shavu Twende far Kilimanjaro Au vacation Zanzibar Maria maria baby Maria maria huuh Maria maria baby Maria maria huuh
Writer(s): Elisha Msinge Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out