Letra

Hee!! hee!! La la aah aaah Naishi naisha, hata sura inakosa nuru Napukutika, mnyonge mwoga mi kunguru Namridhisha na wa mwisho kwenye musururu Penzi la kujificha, mbele za watu haiko huru Sili nikashiba, mwanga ndani nje giza Kanipa ratiba, zamu yangu kila jumapili Moyoni mwiba, nahema kwa shida Penzi msiba, lina niliza mimi yeeh Siku nikifa nizikwe na picha yake yeye (Yee!le!Le!le!) Naimani nitakutana na yeye (Aaaah-aaa!aa!a) Siku nikifa nizikwe na picha yake yeye (yee!le!Le!le!) Naimani huko tutakuwa wenyewe (lalala) La la la la Woo wo wo La la la la Uuu uu uu u La la la la Iye iye iyee le le La la la la Silali baridi, usiku natetemeka Na mbaya zaidi, rafiki wananicheka Silali baridi ye ye, usiku natetemeka Mi najitahidi, ila siishi kusononeka Mmh eh Ona mawingu yamepambwa kwa rangi nzuri Sio mimi wala wewe, ni mungu mwenyewe Akaumba jua na mbingu, na mapenzi kama kivuli Tujifiche mi nawe, sa mbona unaniacha mwenyewe Wahenga walisha sema, ukipewa ukilema Unapewa na mwendo, ila kwangu si neema Yani sisimizi kumuua tembo Ooh chanda chema Limebaki neno Hakuna mapendo Nilipolenga nimedema Moyo umekosa malengo, mama oh oh Siku nikifa nizikwe na picha yake yeye (yee!le!Le!le) Naimani nitakutana na yeye (Aaaa!-aaa!aa!a) Siku nikifa, nizikwe na picha yake yeye (ee!le!Le!le) Naimani huko, tutakuwa wenyewe (Lalala) La la la la Woo wo wo La la la la Uuu uu uu u La la la la Iye iye iyee le le La la la la Silali baridi, usiku natetemeka Na mbaya zaidi, rafiki wananicheka Silali baridi ye ye, usiku natetemeka Mi najitahidi, ila siishi kusononeka Silali baridi (La la la la) Mi najitahidi (La la la la)
Writer(s): Sheila Shorongo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out