Letra

Ati, wakanyagie na slippers High heels na Timber Kila aina ya sneaker Wakanyagie na slippers High heels, maTimber, Nike, Adidas Kila aina ya sneaker kanyagia Ka riba si ya bizna Raia keep distance stori weka Insta Itabidi wametulia tu, wakininyatu Niko ndani ya booth ka mguu ndani ya kiatu Na nimepiga luku tu sijakimbia tu Na nimavaa matimba ju na kanyagia tu Mastori za upuzi na Kanyagia (kanyagia) kanyagia (kanyagia) kanyagia Watu hujifanya wajuzi Nawakanyagia (kanyagia) kanyagia (kanyagia) kanyagia Ka umejazwa na kichuki na ku Kanyagia (kanyagia) kanyagia (kanyagia) kanyagia Kumwagia jina yangu chumvi brathe Kanyagia (kanyagia) kanyagia (kanyagia) kanyagia Ati rumours are spreading Brathe maintain Usiamini kila kitu unasomanga kwa mneti Ni kugenje punguza kelele ka si necessary Si unajua stori ya mkebe ikiwa empty nani Kiatu itembezwe ka stori haiinvolve biz Punguza kasheshe na uachane na showbiz Showbiz genje niongeze manoti ndani ya pori Wakanyagie na slippers High heels, maTimber, Nike, Adidas Kila aina ya sneaker kanyagia Ka riba si ya bizna Raia keep distance stori weka Insta Wakanyagie na slippers High heels, maTimber, Nike, Adidas Kila aina ya sneaker kanyagia Ka riba si ya bizna Raia keep distance stori weka Insta Ah, unabonga sana hauchoki kuongea Umejulikana haukosi kwa umbea Maskio yako ka story za jirani tuu Macho yako na udaku ka miwani juu Ah, antenna imepanda juu sana Nipigie ka tunaongea mkwanja tu Rada mi nashughulikia yangu tu Stevie Wonder kwa vitanda silaliangi juu So mastori za ufala unaweza Kanyagia (kanyagia) kanyagia (kanyagia) Kanyagia bado shingo za marapper mi na Kanyagia (kanyagia) kanyagia (kanyagia) kanyagia Last year niliona manyoka nika Kanyagia (kanyagia) kanyagia (kanyagia) kanyagia Adui yako atakusoma buda Kanyagia (kanyagia) kanyagia (kanyagia) kanyagia Yeah, cheki romours are spreading Ka si udaku kwani hatuwezi tunga sentensi? Mdomo zao zinafunguka tu ka mfereji Ikifika time ya insides cooper hamchelewi Upepelezi Na tukiongea ukweli Mastori hazitauza bila chumvi kwa mneti So ka we kama hupendi funga macho usicheki Ras hii mambo bana haieleweki, kanyagia!
Writer(s): Nyamari Ongegu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out