Vídeo de música

Wanavokali - Rhumba (Official Video) Sms 'SKIZA 5963588' to 811 for Skiza Tune
Veja o vídeo de música de {trackName} de {artistName}

Créditos

COMPOSITION & LYRICS
Mbari Gathariki
Mbari Gathariki
Songwriter
Samuel Mwangi Warui
Samuel Mwangi Warui
Songwriter
Waithera Chege
Waithera Chege
Songwriter
Mellina Cherotich Misoi
Mellina Cherotich Misoi
Songwriter
Lena Adhiambo Odhiambo
Lena Adhiambo Odhiambo
Songwriter
Faith Chepkorir Langat
Faith Chepkorir Langat
Songwriter

Letra

My love I want you My love I need you Every time I see you (In a di club) Every time I see you (You light up) Naomba nafasi mi nicheze na we Njoo karibu, usinicheki tu kwa mbali Hatujuani, but tonight you could be my bae Songa nami, hii form imekubali Hata kama ni mara ya kwanza sisi kuonana Usiogope nipe macho yako Ana kwa ana Hata kama ni mara ya kwanza sisi kuonana Usiogope nipe macho yako Ana kwa ana Ngoma zalia na mi nataka kucheza Kucha kutwa, nishazoea kesha Sakata rhumba Achilia pressure Tutacheza hata kama hatuna pesa Ngoma zalia na mi nataka kucheza Kucha kutwa, nishazoea kesha Sakata rhumba Achilia pressure Hatujui kama tutaonana tena Napenda unavyong'aa kama taa Hapa we ndio star You've got me feeling things that I can't explain Tu vitu, Ma vitu I think I'm falling for you just a little Hata kama ni mara ya kwanza sisi kuonana Usiogope nipe macho yako Ana kwa ana Hata kama ni mara ya kwanza sisi kuonana Usiogope nipe macho yako Ana kwa ana Ngoma zalia na mi nataka kucheza Kucha kutwa, nishazoea kesha Sakata rhumba Achilia pressure Tutacheza hata kama hatuna pesa Ngoma zalia na mi nataka kucheza Kucha kutwa, nishazoea kesha Sakata rhumba Achilia pressure Hatujui kama tutaonana tena Vunja mifupa kaza mshipi na tuzikwende Tukizunguka, kaende, kaende Teremka, kata kiuno jionyeshe Inuka, Inuka Ngoma zalia na mi nataka kucheza Kucha kutwa, nishazoea kesha Sakata rhumba Achilia pressure Tutacheza hata kama hatuna pesa Ngoma zalia na mi nataka kucheza Kucha kutwa, nishazoea kesha Sakata rhumba Achilia pressure Hatujui kama tutaonana tena
Writer(s): Mbari Gathariki Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out