Letra

Acheni muone utamu wa Yesu we Mama we onjeni utamu wa Yesu we Mwenzenu nimeonja utamu wa Yesu we Usione nina raha nimeonja utamu wa Yesu we Si kama nimechanganyikiwa bali ni utamu wa Yesu we Jamani sijarukwa na akili bali utamu wa Yesu we Utamu we, nimeonja utamu we Utamu we, nimeonja utamu we Utamu we, nimeonja utamu we he Utamu we, nimeonja utamu we he Utamu wa Yesu we, Utamu wa Yesu we Utamu wa Yesu we, Utamu wa Yesu we Utamu we, utamu Utamu we, utamu Utamu we, utamu Utamu wa Yesu we, he Mwemere, mwemere Mwemere, mwemere Mwemere, mwemere Mwemere, mwemere Viko vingi vitamu lakini mwisho wake mauti Viko vingi vitamu lakini mwisho wake kilio Vingine ni vitamu lakini mwisho wake kilio Ni vitamu lakini mwisho vichungu kama shubiri Ni vitamu lakini mwisho vinawasha kama upupu Ni vitamu lakini mwisho vinapalia we Acheni niuseme utamu wa Yesu we Wacheni nisifu utamu wa Yesu we Umetutenga mbali na dhambi, utamu wa Yesu we Haufanani na utamu wa asali, utamu wa Yesu we Thamani yake imeshinda almasi, utamu wa Yesu we Ni mali ghafi isiopatika kwa mapesa jamani he Bali kwa njia ya msalaba tumepewa utamu wa Yesu we Mbinguni tunakwenda bure, uzima tunapata bure Wokovu tumepata bure, amani tunapata bure Utamu we, nimeonja utamu we Utamu we, nimeonja utamu we Utamu we, nimeonja utamu we he Utamu we, nimeonja utamu we he Utamu wa Yesu we, Utamu wa Yesu we Utamu wa Yesu we, Utamu wa Yesu we Utamu we, utamu Utamu we, utamu Utamu we, utamu Utamu wa Yesu we, he Mwemere, mwemere Mwemere, mwemere Mwemere, mwemere Mwemere, mwemere Umetutenga mbali na dhambi, utamu wa Yesu we Usione tuna raha, tumeonja utamu wa Yesu we Usione tunacheka, tumeonja utamu wa Yesu we Umetutenga mbali na dhambi, utamu wa Yesu we Umetusogeza karibu na Mungu, utamu wa Yesu we Dhambi zetu zimewekwa mbali na Mungu, utamu wa Yesu we Walio chini wameinuliwa, utamu wa Yesu we Badala ya kilio ni kicheko, utamu wa Yesu we Badala ya aibu utukufu, utamu wa Yesu we Mito ya baraka inatiririka, utamu wa Yesu we Mito ya baraka inatiririka, utamu wa Yesu we Utamu we, nimeonja utamu we Utamu we, nimeonja utamu we he Utamu we, nimeonja utamu we he Utamu wa Yesu we, Utamu wa Yesu we Utamu wa Yesu we, Utamu wa Yesu we Utamu we, utamu Utamu we, utamu Utamu we, utamu Utamu wa Yesu we, he Mwemere, mwemere Mwemere, mwemere Mwemere, mwemere Mwemere, mwemere Mkitaka magari mazuri, onjeni utamu wa Yesu we Mkitaka majumba mazuri, onjeni utamu wa Yesu we Mkitaka kubarikiwa, onjeni utamu wa Yesu we Mkitaka kuinuliwa, onjeni utamu wa Yesu we Utamu we, nimeonja utamu we Utamu we, nimeonja utamu we he Utamu we, nimeonja utamu we he Utamu wa Yesu we, Utamu wa Yesu we Utamu wa Yesu we, Utamu wa Yesu we Utamu we, utamu Utamu we, utamu Utamu we, utamu Utamu wa Yesu we, he Mwemere, mwemere Mwemere, mwemere Mwemere, mwemere Mwemere, mwemere Sing'oki ng'o, kwa Yesu sing'oki ng'o Sing'oki ng'o, kwa Yesu sing'oki ng'o Sing'oki ng'o, kwa Yesu sing'oki ng'o Sing'oki ng'o, kwa Yesu sing'oki ng'o Utamu we, utamu Utamu we, utamu Utamu we, utamu Utamu wa Yesu we
Writer(s): Rose Muhando Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out