Letra

K on The Track Kwa hii life tunacheza amongest mafala, mambleina wamegeuka imposters Nilitoka kwa slum za Mathare, saii naishi mayolo na sling nazichota Mechi zangu zingine nmedishi maforeigner wapoa kumegeuka Europa Nina ball wanadhani nakopa, nina ball wanadhani nakopa Kwa hii life tunacheza amongest mafala, mambleina wamegeuka imposters Nilitoka kwa slum za Mathare, saii naishi mayolo na sling nazichota Mechi zangu zingine nmedishi maforeigner wapoa kumegeuka Europa Nina ball wanadhani nakopa, nina ball wanadhani nakopa Nikitoka mi huchafua scenes, man i'm on their mouth like Listerine, uh And if I cheat I'll come out clean, kujificha your toi, uh Na ma exes kuwatesa, ni ju daily na apply-ingi joh pressure Team kuzidi, there is no rest man, last show nilizoza huko WSTRN Na siku hizi wanasema nakula ati Jere kidogo umekuwa na kitambi Na Bimmer nimeshika nimechapisha debe, ukiingia unaskiza kinyambi Niko trap Kilimani, wapoa wako different lakini ukweli ni mababi Uh, samahani, mteja wa nambari hapatikani Niko na dem yako ana chali, anadai una games chali Kwa bed mi ni Jeff Hardy, doba imewai when I get sturdy Marapper wako class wanaget studies,? whip my G I got car keys Rode my Jeep piga Nikes, all time si unajua hizo ndo fly kicks Si unajua hii side nimezoza, si unajua hii side nimezoza Si unajua hii side nimezoza, ukipull up the socks usisahau pia trouser Si unajua hii side nimezoza, si unajua hii side nimezoza Si unajua hii side nimezoza, ukipull up the socks usisahau pia trouser Kwa hii life tunacheza amongest mafala, mambleina wamegeuka imposters Nilitoka kwa slum za Mathare, saii naishi mayolo na sling nazichota Mechi zangu zingine nmedishi maforeigner wapoa kumegeuka Europa Nina ball wanadhani nakopa, nina ball wanadhani nakopa Kwa hii life tunacheza amongest mafala, mambleina wamegeuka imposters Nilitoka kwa slum za Mathare, saii naishi mayolo na sling nazichota Mechi zangu zingine nmedishi maforeigner wapoa kumegeuka Europa Nina ball wanadhani nakopa, nina ball wanadhani nakopa Bad B's A to Z, nawakunywa na straw kama Lucozade Tuko bukla anatingisha bunda, anataka kunionesha kurotate Slow whine, trap hotel naisqueeze, I'm on my lucky days Hizi sides sisi ndio kusema, tukikam hizo side mnarelocate Drip so cold on a sunny day, ayy sippin' on Lemonade Ni uongo hio ni fairy tale, unacap a lot hio ni nini unasay? Drip so hot on a rainy day, ayy sippin' on Lemonade I'm in for the money days, mulla cash I wanna get paid Kwa hii life tunacheza amongest, mafala mambleina wamegeuka imposters Nilitoka kwa slum za Mathare, saii naishi mayolo na sling nazichota Mechi zangu zingine nmedishi maforeigner wapoa kumegeuka Europa Nina ball wanadhani nakopa, nina ball wanadhani nakopa
Writer(s): Kahukx Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out