Letra

Nakupa salam pole ex Mi kwanza sasa hivi na nenepa Niliyenaye kanitowa stress Nimesahau michoko ya nyuma nilipo toka Hivi bado anakupost bwana wako anakupost? Walio nachamba wale mashoga zako ivi wapo wale mashost Namba zako nilikwisha futa Nimezitafuta tunikupe taharifa Nimenpata amenpa hodari mwenye kila sifa Juzi nimeona umeposti picha insta umezidi kongoroka Mifupa ilivyo kutoka utadhani umetapikwa na nyoka Umekonde ana Poleee, pole sana Vipi danga lako la masaki mmesha achana Sisi tumependezana Tume pendezana Ropa ya mapenzi alionikaba imesha nibana Yani rahaaaaa Napendwa napendwa Napendwa napendwa Napendwa napendwa aaah Ilichaka sing'okii Napendwa napendwa Napendwa napendwa Napendwa napendwa Nimesha tulizana Unakazi yakushindia vijora Cream imekualibu sura We nabwana wako mmekutana wote amna hela Serikari imekwisha isha sera Kumbe chakula cha masela Mimi huku mwenzako Penzi limechanganya mpera mpera ooh Nilifosi maji kupanda mrima Napambana kuwasha kumbe unazima Nikaugua balidi nakutetema yani matesoo Ukawa unalinga kama umepima aah Napole dada sasa umechina Nimempata fundi Ronaldo derima mineso Nilijua tu tusingefina mbali wewe na mimi Uapenda makuu ndio maana hukujali Kidogo cha mimi Umekonde ana Poleee, pole sana Vipi danga lako la masaki mmesha achana Sisi tumependezana Tume pendezana Ropa ya mapenzi alionikaba imesha nibana Yani rahaaaaa Napendwa napendwa Napendwa napendwa Napendwa napendwa aaah Ilichaka sing'okii Napendwa napendwa Napendwa napendwa Napendwa napendwa Ooh mama aaaaaaahhhh
Writer(s): Idd Mohamed Ngomba Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out