Letra

(Ni nini hiki mbona chanizuzua?) (Nini hiki mbona chanisumbua?) (Nakaribia kuzalilika) (S2kizzy baby) (Nakaribia kuzalilika) Aliyeumba mapenzi hakusema yana maumivu Aliyeumba mapenzi hakusema unaua wivu Gharama, mapenzi gharama Utachukia ndugu, marafiki, ugomvi na mama Gharama, mapenzi gharama Na ni donda sugu halitibiki ukishazama Unamuamini na kudhani ndugu yako Kumbe kijini, ndio baby wa baby wako Mapenzi yataniua Bora nitafute pesa nianze jishaua (niwe happy now) Mi' mahaba yataniua (yata ni-kill) Bora nitafute pesa nianze jishaua Nikizipata ni Mitungi, mitungi, mitungi, mitungi Mitungi, mitungi, mitungi, mitu-tu Mitungi, mitungi, mitungi, mitungi Mitungi, mitungi, mitungi, mitungi Na watakoma aisee, hili party Nyama choma ashe, aje? Muziki mangoma aje? Vya Arusha nivichomaje, aje? Watakoma aisee, hili party Nyama choma ashe, aje? Muziki magoma aje? Vya Arusha nitavi-shh Nipite na kila mtu Hadi we, hadi we Hadi we, hadi wewe Hadi we, hadi we Hadi we, hadi wewe (eh) Ka' kupenda (aku), kampende baba 'ako (ah baba 'ako) Si' unampenda? Kampende dada 'ako (ah dada 'ako) Ka' kupenda, kampende baba 'ako (ah baba 'ako) Si' unampenda? Kampende kaka 'ako (ah kaka 'ako) Mapenzi yataniua (yata ni-kill) Bora nitafute pesa nianze jishaua (niwe happy now) Mi' mahaba yataniua (yata ni-kill) Bora nitafute pesa nianze jishaua Nikizipata ni Mitungi, mitungi, mitungi, mitungi Mitungi, mitungi, mitungi, mitu-tu Mitungi, mitungi, mitungi, mitungi Mitungi, mitungi, mitungi, mitungi (Gharama, mapenzi gharama) (Utachukia ndugu, marafiki, ugomvi na mama) (Gharama, mapenzi gharama) (Na ni donda sugu halitibiki ukishazama) Nipite na kila mtu Hadi we, hadi we Hadi we, hadi wewe Hadi we, hadi we Hadi we, hadi wewe (Kamix lizer)
Writer(s): Sheila Shorongo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out