Vídeo de música

NITAINGIA LANGO LAKE //Msanii Music Group
Veja o vídeo de música de {trackName} de {artistName}

Destacado em

Créditos

PERFORMING ARTISTS
Msanii Music Group
Msanii Music Group
Performer
Mary Wambui
Mary Wambui
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mary Wambui
Mary Wambui
Songwriter

Letra

Wakati nitajikuta, mbinguni kwa Baba Nitajua ya ulimwengu nimeshayaacha Haleluya nitasifu, kufika mbinguni Hosana! nitaingia kwa shangwe Nitaingia lango lake na sifa moyoni Nitaingia kwa shangwe kuu Nitasema ni siku njema bwana ameifanya Nitafurahi kufika mbinguni Nchi nzuri nchi safi, kwa Baba yangu Kuna amani kuna furaha, huko ni kusifu Tutakaa na Mungu wetu, nchi ya amani Hosana! nitaingia kwa shangwe Nitawaona watakatifu, manabii wote Hata mitume nchi hiyo, nitawaona Tutakula meza moja, nchi ya amani Hosana! nitaingia kwa shangwe
Writer(s): Mary Wambui Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out