Letra

You're in my mind oooh Elewa mwanzo wa kiapo, kipaumbele Penzi lenye matozo Lina maumivu Akili yetu sio ndogo Na uzuri hatuna fear love Oooh kadogoo, mpenzi Nimezama kwenye wimbi la mapenzi sweet love Na vikoba havitutishi Hatupitishi week love Nimezama kwenye wimbi la mapenzi sweet love Na vikoba havitutishi Hatupitishi week love Manung'uniko nami sina tena Ukali wangu ndio basi wee Ndoto nzuri njema njema Hunijia nikiwa nawe Mpenzi oooh love Nafsi isiwe na maradhi Mpenzi pona Habari zetu ziwafikie Nimezama kwenye wimbi la mapenzi sweet love Na vikoba havitutishi Hatupitishi week love Nimezama kwenye wimbi la mapenzi sweet love Na vikoba havitutishi Hatupitishi week love Akili yetu sio ndogo Na uzuri hatuna fear love Oooh kadogoo, mpenzi Nimezama kwenye wimbi la mapenzi sweet love Na vikoba havitutishi Hatupitishi week love Nimezama kwenye wimbi la mapenzi sweet love Na vikoba havitutishi Hatupitishi week love
Writer(s): Judith Wambura Mbibo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out