Vídeo de música

Destacado em

Créditos

PERFORMING ARTISTS
Watu Fresh
Watu Fresh
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Thomas Maxmillion
Thomas Maxmillion
Songwriter
Mr Kesho
Mr Kesho
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Kato Kumbi
Kato Kumbi
Mixing Engineer

Letra

Omama Nawaza Bila wewe ningekua wapi oomama Oo mama Dunia Bila wewe tugekua wapi oomama Mama nakupenda kwangu unaupendo wa pekee Namuomba mwenyezi akuweke Leo kesho Jikoni unapika ukiwa kazini uhakika Mama mchapa kazi inafahamika Mtoto wakike atazamweeee Sina chaku kulipa Kwa mengi umefanya Tangu mtoto mpaka Leo nimekua Wanawake na fashion Kushona vitengee ooh waandishi wa habari Walimu mashuleni mawaziri marubani Mpaka sokoni kuuza nyanya Umejaliwa moyo mama Duniani hakuna ee Mtetezi niwee aweee oyoooo Weee oyooo Milele nawe aaaah weee oyooo weee oyooo Omama Nawaza Bila wewe ningekua wapi oomama Oo mama Dunia Bila wewe tugekua wapi oomama Omama Nawaza Bila wewe ningekua wapi oomama Oo mama Dunia Bila wewe tugekua wapi oomama Ooo mama Jitihada zaku changia wengine wasiojiweza wapete heshima Vitendea kazi na mapocho pocho Sauti zetu zinafika mchosema uhakika mwanamke Kila sekta unamkuta anawajibika Samia anawakilisha mama wachapa kazi wa Africa Tena msichoke kabisa muda umefika Mnafanya vizuri vizuri Mapambano na juhudi kwenye haya maisha Aa pongezi nyingi kwenu wakina mama Navikundi vyenu vyakunyanyuana Hamuwezi kukubali Mmoja akizama Mnaupendo sana Ooh mama you truly deep in love from your heart ooo mama Ooh mama you truly deep in love from your heart ooo mama Omama Nawaza Bila wewe ningekua wapi oomama Oo mama Dunia Bila wewe tugekua wapi oomama Omama Nawaza Bila wewe ningekua wapi oomama Oo mama Dunia Bila wewe tugekua wapi oomama Ooo mama
Writer(s): Mr Kesho, Thomas Maxmillion Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out