Letra

Mie, mamie (mamie) We' ndo' mamie (mamie) We' ndo' dadie (dadie) Mie, mamie (mamie) We' ndo' mamie (mamie) We' ndo' dadie (dadie) Mie mie mie, mie mie mie, mie ehh Mie mie mie, mie mie mie, mie ehh Mbona kama unanionea? Haya mapenzi gani kila siku lazima nimbembeleze Nini sasa mpenzi wangu? Na we' utanibembeleza Na mimi nisikie unavyosikiaga nikikumbembeleza Ona kaneno mapenzi, kaneno kafupi Kana mambo mengi unayempenda atakuzingua Si' bora angesema ata mapema Aliniacha nimezama, kutoka sasa (Nashindwa) shindwa (nashindwa) Kutoka mimi (Nashindwa) shindwa (nashindwa) Ah-aah-ah (Nashindwa) shindwa (nashindwa) Sijui nifanye nini? (Nashindwaa...) mama weeeh Angejua kabisa ninavyompenda Sijawahi kupenda ndo' yeye wa kwanza ananizuzua Si' bora angesema ata mapema ameniacha nimezama Kutoka sasa (Nashindwa) shindwa (nashindwa) Kutoka mimi (Nashindwa) shindwa (nashindwa) Ah-aah-ah (Nashindwa) shindwa (nashindwa) Sasa nifanye nini? (Nashindwa...) mama weeeh Tuli, la-la, la-la Mie mie mie (mie), mie mie mie (mimi) mieeh Mie mie mie (mimi), mie mie mie (mimi) mieeh Mie mie mie (mie), mie mie mie (mimi) mieeh Mie mie mie (mimi), mie mie mie (mimi) mieeh Ghafla tu anafunga vilago, namuuliza hatakikusema Tatizo ni nini? Sijui kunashida gani? Haya mapenzi, lawama kila siku mimi Tulia mama, mimi ni wako nakupenda sana Usihagangaike, usibabaike Na wale maadui nataka wabaki na aibu We' ni wangu, mi' ni wako, mpenzi wangu Ebu punguza maringo na mapozi, nakupenda Wewe ni wangu, mi' ni wako, mpenzi wangu Punguza maringo na mapozi, nakupenda Mie, I say mamie (mamie) We' ndo dadie (dadie) We' ndo mamie (mamie) We' ndo dadie Mie, mamie (mamie) We' dadie (dadie) We' mamie (mamie) Yeh Mie, mamie (mamie) Ye ye ye ye ye Ale, we' ni wangu, mi' ni wako, mpenzi wangu Punguza maringo na mapozi, nakupenda Wewe ni wangu, mi' ni wako, mpenzi wangu Punguza maringo na mapozi nakupenda Mie, mamie (mamie) We' ndo mamie (mamie) We' ndo dadie (dadie) Mie, mamie (mamie) We' ndo' mamie (mamie) We' ndo' dadie (dadie) Ale we' ni wangu, mamie (mamie) Mimi ni wako mamie (mamie) We' ni wangu, mamie (mamie) Mimi ni wako mama oh
Writer(s): Christian Bope Bella Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out