Créditos

PERFORMING ARTISTS
Imuh
Imuh
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ibrahim Mwambogoso
Ibrahim Mwambogoso
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Terriyo Monster
Terriyo Monster
Producer

Letra

Sio kwamba tunafanya maonyesho
Penzi la kweli halijifichi
Kweli kuna Leo na kesho
Ila kuhusu kuachana labda tuwape kiti msubirie
Maana mkisimama mtachoka
Penzi Kafunga kwa kamba ya chuma
Mnasubiri kukatika aisee naona huruma
Et ataniuwa niachane nae
Mbona mnachelewa kusema
Maana nishampa roho
Na nashangaa bado nahema
Aaah aaah aah aah
Na alivyo mshenzi
Na napenda mapenzi
Yani tumekutana mshipa na dam
Kama Hana wazazi akikuana nazi
Akitangulia na mimi na cam mmmh
Hapa niwa wapi
Mlisema hatufiki mbali
Hapa ni wapi
Mbona tunazidi kupepea mi na yeye
Hapa niwa wapi
Mlisema hatufiki mbali
Hapa ni wapi
Oooh Nana nanaaah
Hapa ni wapi
Sio tandale sio buza
Ruti zote mwali ananipitisha
Ndo Mana kanivuruga
Hata meme ukweli
Juu yake bado ntabisha
Aaah aaah
Ale Zi mpaka Zi mpaka zi
Na Leo tunakesha kama walinzi
Hutak kufuta na umemwaga radhi
Unataka nini kama si uchokozi
Laazizi
Ishapanda midadi
Wazungu wanakuja hata bila kadi
Twende mbinguni kama zumaridi
I call you mamy
Basi call me dady
Iiih
Mama mama maae
Na alivyo mshenzi
Na napenda mapenzi
Yani tumekutana mshipa na dam
Kama Hana wazazi akikuana nazi
Akitangulia na mimi na cam mmmh
Hapaa
Hapa niwa wapi
Mlisema hatufiki mbali
Hapa ni wapi
Mgeukie jirani yako umuulize
Hapa niwa wapi
Sema nae sema nae
Si mlisema hatufiki mbali
Hapa ni wapi
Hapa ni wapi wapi iih
Mmmh
You can call me zuzu yeeh
Hapa ni wapi
Mlisema hatufiki mbali
Hapa ni wapi
Written by: Ibrahim Mwambogoso
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...