Letra

Siku mbili sijalala sijakula Ninastress Nyumba imegeuka chumba cha dharura Emergency Sioni marafiki ama mashosti Au mnasubiri nife ndio mniposti Bora nitafute pesa Ndugu wa kweli mafanikio Watu feki watu feki Sitaki marafiki siwataki ng'o Sitaki wanafiki sitaki watu feki Wambie walio nicheat Wakaniumiza roho Sitaki wanafiki sitaki watu feki Sijui ninyamaze ama niseme wanicheke Ama nijikaze nilie ninyamaze nijiliwaze Lah lah lah lah lah Lah lah lah lah Lah lah lah lah Lah lah lah lah Lah lah lah lah lah Lah lah lah lah Lah lah lah lah Lah lah lah lah Watu feki wasioridhika Nilishazika nikasafirisha Watu feki watu feki Leo wanakupandisha Kesho ndio watakushusha Watu feki watu feki Utakufa na njaa Msibani watapika pilau Ukishika chapaa Utacheka nawanao kudharau Mmmh Bora wali nyama kuliko walimwengu Wakikosa sufuria watakupiga majungu Ukweli unauma ukweli ni mchungu Yeah yeah yeah Sitaki marafiki siwataki ng'o Sitaki wanafiki sitaki watu feki Wambie walio nicheat wakaniumiza roho Sitaki wanafiki sitaki watu feki Sijui ninyamaze ama niseme wanicheke Ama nijikaze nilie ninyamaze nijiliwaze Lah lah lah lah lah Lah lah lah lah Lah lah lah lah Lah lah lah lah Lah lah lah lah lah Lah lah lah lah Lah lah lah lah Lah lah lah lah
Writer(s): Ibrahim Jafari Mzonge Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out