Letra
Uuh-uuh
Uh, uh
Uh
(DJ)
Ni neema, ni neema, ni neema
Imeniweka hapa
Ni neema, ni neema, ni neema
Imeniweka hapa
Sikustahili, sikustahili
Sikustahili, sikustahili
Ni neema, ni neema, ni neema
Imeniweka hapa
Mm, mimi jinsi nilivyo
Kila nilichonacho
Ni neema, imenipa hayo
Uhai uzima, wokovu kibali, vyote
Ni neema, imenipa hivi
Kuna mtu alikufa msalabani
Kwa ajili yangu
Amelipa madeni yote, niliyodaiwa
Ni neema, ni neema, ni neema
Yake Yesu
Sikustahili, sikustahili
Sikustahili, sikustahili
Ni neema, ni neema, ni neema
Yake Yesu
Sikustahili (sikustahili), sikustahili (sikustahili)
Sikustahili (sikustahili), sikustahili (sikustahili)
Kweli ni neema (ni neema), ni neema (ni neema)
Oh, ni neema (ni neema), ni neema (imeniweka hapa)
Sikustahili (sikustahili), sikustahili (sikustahili)
Sikustahili (sikustahili), sikustahili (sikustahili)
Ooh (ni neema), oh, ni neema (ni neema)
Oh, ni neema (ni neema), yake Yesu (imeniweka hapa)
Sikustahili (sikustahili), la-la, la-la, la-la-la-la-le (sikustahili)
Nina, nina, ni Yesu jamani (sikustahili), usiniangalie mimi (sikustahili)
Ameniweka hapa (ni neema), oh, ni neema (ni neema)
Oh, ni neema (ni neema), mtukuzeni Yesu (imeniweka hapa)
Haleluya, ahsante Yesu (tunakushukuru Yesu)
Ahsante Yesu
Ahsante Yesu (ninakutukuza Mungu), ahsante Yesu (kwa neema yako)
Ni kwa neema yako
Ulisimama kwa ajili yangu, uilinitetea Baba (milele), ahsante Yesu
Yako yesu
Sikustahili, sikustahili
Sikustahili, sikustahili
Ni neema, ni neema, ni neema
Yako Yesu
Sikustahili, sikustahili
Sikustahili, sikustahili
Ni neema, ni neema, ni neema
Yako Yesu
Writer(s): Joel Lwaga
Lyrics powered by www.musixmatch.com