Letra

Huyo Ex Wakunifanya Ninywe Nilewe Mbona Simuoni (Simuoni) Mawazo Ya Kunifanya Ninywe Nilewe Me Siyaoni (Siyaoni) Na Ukiniona Nipo Kiwanja Nipo Hapa Kuruka Kwanja Mara Moja Moja Navutaga Ganja Jicho Likae Kijanja Mmh Thanks Baba God For The Blessing Am Living My Life No Stress Music Is Just My Dream Am Chasing Ukisikia Nimelewa Ni Tetesi Ona Ninavyo Nata Aah Na Beat Piano Za Kisasa Na Tbt Mwendo Wa Kwaito Tunayarudi You Can Tell Sijalewa Ni Kusudi Leoooo Sijalewaaa Sijalewa Sijalewa Me Nafanya Kusudi Sijalewaaa Sijalewa Sijalewa Me Nafanya Kusudi Tuu (Aeee Aeee) Siku Nikilewa Mtajua Mbona Mtajua Mmh (Aeee) Kuna Mtu Hichi Kichwa Anakisumbua Siku Iyo Mtamjua Mwenzenu Pombe Nishaacha Kuvuta Nishaacha Ila Mapenzi Siwezi Acha Japo Yananiumiza Na Ukiniona Nipo Kiwanja Nipo Hapa Kuruka Kwanja Mara Moja Moja Navutaga Ganja Jicho Likae Kijanja Mmh Thanks Baba God For The Blessing Am Living My Life No Stress Music Is Just My Dream Am Chasing Ukisikia Nimelewa Ni Tetesi Ona Ninavyo Nata Aah Na Beat Piano Za Kisasa Na Tbt Mwendo Wa Kwaito Tunayarudi You Can Tell Sijalewa Ni Kusudi Leoooo Sijalewaaa Sijalewa Sijalewa Me Nafanya Kusudi Sijalewaaa Sijalewa Sijalewa Me Nafanya Kusudi Tuu The mix killer Na Ukiniona Nipo Kiwanja Nipo Hapa Kuruka Kwanja Mara Moja Moja Navutaga Ganja Jicho Likae Kijanja
Writer(s): Rajabu Ibrahim Abdukahali Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out