Créditos
PERFORMING ARTISTS
Fathermoh
Performer
Swat Matire
Performer
Harry Craze
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Joseph Otieno Ojwang
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Vic West
Producer
Letra
Sharing is caring
Bro tuma number my way
Bora ni mdem hana vako za ugay
Wachana na ye ka haufiki my bae
Hapa kuna line unaclog I say
Dem wa tiktok Akivunja kiuno
share
Telegram akitrend pale K.O.T
share
Ukiconnect kwa Bluetooth bro
share
Na iki chrome sio whiskey breygin
share
Kumechacha kumechacha
Dem anadai ganji anipee lap dance
Ati anapenda cocktail
Na ye ni tanker
Anapandaga ma mat na anaset standard
Ati anadai siezi kam kama gari sio uber eh
Siezi kulak a samaki sio Tuna eh
Mahali classy ndio ile pahali mi naeza kula
Ukidai kuniteka lazima ukuwe na bunda
Akipose kazi ni ma close friends
Ako busy pale snapchat akihurt Men
Uku streets ye ndio master anawablackmail
Wanaija manaira form ni weekend
Sharing is caring
Bro tuma number my way
Bora ni mdem hana vako za ugay
Wachana na ye ka haufiki my bae
Hapa kuna line unaclog I say
Dem wa tiktok Akivunja kiuno
share
Telegram akitrend pale K.O.T
share
Ukiconnect kwa Bluetooth bro
share
Na iki chrome sio whiskey breygin
share
Nakukol na haushiki telephone
Nina ring nanywaku coffee
Na bado niko ridho niko njing
Kabariang
Toto wako anakutoka juu ya jing
Anyoi nyasi ashapiga cap naka trespass
Nyongi mpaka zigi iishe ndo tudim
Na rongos pongi mpaka ile itha
Inatoa cream
Ota norpo unapata ume wet dream
Rungus bigi hii si cigarette hii si slim
Ota norpo unapata umewet dream
Kidonda imeomoka ni nini
Ni nunu
Yi hutoa nini kwa chuma kutu
Na si expensive kushika hii
Burungu
Lakini chunga usishike ya kurutu
Nikiwa juu hi indo masaa me ukuwa Bubu
Kushare madem kuliko kupoteza ID
Kushare madem kuliko kupoteza ID
Sharing is caring
Bro tuma number my way
Bora ni mdem hana vako za ugay
Wachana na ye ka haufiki my bae
Hapa kuna line unaclog I say
Dem wa tiktok Akivunja kiuno
share
Telegram akitrend pale K.O.T
share
Ukiconnect kwa Bluetooth bro
share
Na iki chrome sio whiskey breygin
share
Written by: Joseph Otieno Ojwang

