album cover
album cover
Afresh foi lançado em 18 de dezembro de 2023 por Sol Generation Records como parte do álbum Press Play: Sol Fest Edition - EP
Lançamento18 de dezembro de 2023
EditoraSol Generation Records
BPM155
Melodicidade
Acústica
Valência
Dançabilidade
Energia

Vídeo de música

Vídeo de música

Letra

[Verse 1]
Nilikupendaga wakwanza ukaniacha
Ukaendea Annnah
Anyweii
Sitokuacha for I know the plans that I had for you
[Verse 2]
Ama ni love imefika interspace
Come on baby hold me who said I needed space
For this kinda loove come on baby hold me
Who said I needed space
[PreChorus]
Ama ulipatanga kipusa anajua kukugusa, ndo mana
Sikuizi umenitupa boy you know me vile napendaga chuma
No maana nashinda nimekujaa
[Chorus]
Afresh eih
Kuja tuanze love afresh
Bayybe I swear nimechange
Kuja tuanze love afresh
[Verse 3]
Eeh vitabu za kitambo nimeweka kando
It's me and you kuja tufanye mambo
Vitu tulipaanga nimeweka kando
It's me and you kuja tuanze mamboo
[Chorus]
Afresh beib
Kuja tuanze love afresh bayybe
I swear nimechange
Kuja tuanze love afresh, eh
[PreChorus]
Ama ulipatanga kipusa anajua kukugusa, ndo mana
Sikuizi umenitupa boy you know me vile napendaga chuma
Ndo maana nashinda nimekujaa
[Chorus]
Afresh beib
Kuja tuanze love afresh
Bayybe I swear nimechange
Kuja tuanze love afresh
[Refrain]
Maisha inani changanya, changanya bila you
Without you? What will I do?
Maisha inani rarua rarua bila you
Without you what will I do
[Outro]
Nimetoa sadaka Kwa mama Halima
Ju vitu mi hupata ntakuita mkulima
Nimetoa sadaka kwa mama Halima
Ju vitu mi hupata ntakuita mkulima, heh
Written by: Sheillah Adhiambo

Rodapé Shazam

Seleciona o idioma:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Segue-nos

Loading...