Vídeo de música

Sauti Sol - Kuliko Jana feat Aaron Rimbui (Official Audio)
Veja o vídeo de música de {trackName} de {artistName}

Créditos

PERFORMING ARTISTS
Sauti Sol
Sauti Sol
Vocals
Bien-aime Baraza
Bien-aime Baraza
Vocals
Aaron Rimbui
Aaron Rimbui
Keyboards
Willis Austin Chimano
Willis Austin Chimano
Vocals
Delvin Savara Mudigi
Delvin Savara Mudigi
Vocals
Polycarp Ochieng Otieno
Polycarp Ochieng Otieno
Acoustic Guitar
Webi
Webi
Background Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Redfourth Chorus
Redfourth Chorus
Composer
Aaron Rimbui
Aaron Rimbui
Composer
Delvin Savara Mudigi
Delvin Savara Mudigi
Songwriter
Willis Austin Chimano
Willis Austin Chimano
Songwriter
Bien Aime Alusa
Bien Aime Alusa
Composer
Polycarp Ochieng Otieno
Polycarp Ochieng Otieno
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Sauti Sol
Sauti Sol
Producer
Polycarp Ochieng Otieno
Polycarp Ochieng Otieno
Producer

Letra

Bwana ni mwokozi wangu Tena ni kiongozi wangu Ananipenda leo kuliko jana Baraka zake hazikwishi Si kama binadamu habadiliki Ananipenda leo kuliko jana Kuliko jana Kuliko jana Yesu nipende leo kuliko jana Kuliko jana Kuliko jana Yesu nipende leo kuliko jana Nakuomba Mungu uwasamehe Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema Na maadui wangu nawaombea maisha marefu Wazidi kuona ukinibariki Ujue binadamu ni watu wa ajabu sana Walimkana Yesu mara tatu kabla jogoo kuwika Ujue binadamu ni watu wa ajabu sana Walimsulubisha Yesu Messiah bila kusita Ooh, na Bwana ni mwokozi wangu Tena ni kiongozi wangu Ananipenda leo kuliko jana Baraka zake hazikwishi Si kama binadamu habadiliki Ananipenda leo kuliko jana Kuliko jana Kuliko jana Yesu nipende leo kuliko jana Kuliko jana Kuliko jana Yesu nipende leo kuliko jana Wewe ndio nategemea Kufa kupona baba nakutegemea (Amen) Chochote kitanikatsia Kuingia mbinguni utaniondolea (Ooh-ooh, yeah) Wewe ndio nategemea (Amen) Kufa kupona baba nakutegemea (Oh-oh) Chochote kitanikatsia Kuingia mbinguni utaniondolea (Eh, wewe ndio nategemea) Wewe ndio nategemea Kufa kupona baba nakutegemea (Eh, bwana) Chochote kitanikatsia Kuingia mbinguni utaniondolea (Eh, maisha yangu yote) Wewe ndio nategemea (Kwa nguvu zangu zote) Kufa kupona baba nakutegemea (Nakutegemea) Chochote kitanikatsia Kuingia mbinguni utaniondolea (Oh-oh-oh-oh) Na bwana ni mwokozi wangu Na tena ni mkombozi wangu Ananipenda leo kuliko jana Baraka zake hazikwishi Si kama binadamu habadiliki Ananipenda leo kuliko jana Kuliko jana (Kuliko jana) Kuliko jana Yesu nipende leo kuliko jana Kuliko jana (Kuliko jana) Kuliko jana (Kuliko jana) Yesu nipende leo kuliko jana Wewe ndio nategemea (Wewe) Kufa kupona baba nakutegemea (Wewe) Chochote kitanikatsia (Uh-huh) Kuingia mbinguni utaniondolea Wewe ndio nategemea (Ooh) Kufa kupona baba nakutegemea (Nakutegemea) Chochote kitanikatsia Kuingia mbinguni utaniondolea Na bwana ni mwokozi wangu (Amen) Tena ni mkombozi wangu (Amen) Ananipenda leo kuliko jana (Amen) Baraka zake hazikwishi (Amen) Si kama binadamu habadiliki (Amen) Ananipenda leo kuliko jana (Amen) Kuliko jana Kuliko jana Nipende leo kuliko jana
Writer(s): Nikolaos Giannulidis, Philipp Klemz, Willis Austin Chimano, Polycarp Ochieno Otieno, Mathias Ramson, Senta Delliponti, Bien-aime Baraza, Delvin S. Mudigi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out